MUWHWELA
Senior Member
- Oct 26, 2013
- 167
- 238
Salam ndugu zangu!
Haya ni maoni yangu binafsi ni ruksa kuwaza tofauti.
Food industry -Hakuna biashara kubwa duniani kama biashara ya chakula,chakula ikiwa Katika mawanda yote kwa maana ya unachokula na unachokunywa ,HII NI BIASHARA HASWA.
Nitaweka Katika makundi matatu ya aina hii ya biashara Ili ujione wapi ulipo na ikiwezekana uchukue hatua haraka iwekanavyo.
1-KIWANDANI HAKITOKI CHAKULA BALI INATOKA BIDHAA-
Chochote unachokula au unakunywa kwa sababu umekiona Katika TV Yako nyumbani au Katika social media basi ujue kabisa kwamba hicho siyo chakula Bali ni bidhaa.
Kwanini hiyo ni bidhaa siyo chakula ,sababu ni Moja tu,popote penye mtazamo wa faida hakuna mtazamo wa kulinda utu na afya ya MTU Bali faida Yao, afya Yako ni jukumu lako.
Siku zote nguvu inayotumika kuzitangaza hizi bidhaa ni ngumu sana kwa MTU mwenye Fikra ya kawaida kubaini kwamba pamoja na matangazo yote haya ,lengo lao ni kupata faida siyo kulinda afya Yako.. sometimes Katika matangazo Yao wanatumia mpka watu unaowaamini sana kwamba Wana akili na upeo wa juu, brother let me tell you!!! Hela inauwezo wa kufanya corruption popote kwa yoyote muda wowote kama MTU huyo hana msingi imara wa fasihi na falsafa ya nini maana ya UHAI na KUISHI.
Kwa Mujibu wa takwimu za shirika la afya Duniani, Afrika Katika miaka 20 iliyopita tumeongeza idadi ya watu wanao kufa kwa Cancer mbali mbali sababu ikiwa ni ongezeko la maisha ya kisasa,hasa ulaji wa bidhaa za viwandani, kwa Afrika mashariki wenzetu kenya wanaongoza.
2-MWILI UNAHITAJI CHAKULA KINACHOOZA
MWILI wa mwanadamu unahitaji mahitaji mengi ,hitaji kubwa Katika yote ni maji, maana Katika maji nutrients nyingi husafilshwa kwayo, Lakini pia ni tiba number Moja ya Mwili wa mwanadamu, Lakini Nayo yamekuwa corrupted na tumekubali Hilo.
Chakula kinachotakiwa Katika Mwili wako ni kile ambacho kinaweza kuharibika (kuoza ) kwa haraka maana hakina madawa yasiyorafiki na Mwili wako.
Kama wadudu microbacteria ambao wapo na wameletwa kukamilisha machakato wa MAISHA ya kuhusiana baina ya viumbe hai hawawezi kusogelea hicho chakula, why kitakuwa salama kwa afya Yako? Ambayo afya Yako yenyewe inategemea hao hao waliopo Mwilini mwako.
Bakiza ushamba kidogo,maisha Bora ni jumla ya afya ya akili na mwili wako, do not trust food industry,trust a food which in Africa tunasema chakula Cha maskini and that's the food needed in our daily life for the better generation.
3-ARDHI HULETA MATOKEO KATIKA TABIA ZETU ZA KILA SIKU.
Ili uwe mjinga, mgumu kujifunza,ngumu kuelewa,MTU mwenye hasira, MTU usiyependa wenzako, mkorofi, hasira haziishi, mbinafsi, mchoyo haya yote source yake ni Ardhi.
Wazungu wanayafahamu haya vizuri, ndiyo maana walienda kinyume na Dr Llaila Afrika, wakati anawaeleza tofauti ya ngozi Yao na ngozi yetu sisi as African brown (Black)
Ardhi ya Ulaya ilipoteza virutubisho vinne muhimu kutoka na barafu kukaa juu ya Ardhi Yao kwa miaka mingi, so walikula na kukua Katika Ardhi ambayo Haina virutubisho hivyo ndiyo maana Leo wako hivyo na wataendelea kuwa hivyo, maana wamerudi maabala ambako hakuna majawabu ya matatizo Yao.
Afrika ndiyo bara pekee lenye Ardhi yenye virutubisho vyote muhimu, mpka chakula Cha mfumo rasmi wa mawasiliano ya moja kwa moja na Mungu tunacho.(Pineal grand) Lakini sisi hatutaki kuona kama kilimo ni maisha Bali tunaona kuzalisha bidhaa zenye preservatives na RANGI ni ujanja.
Hawa wazungu Hawa,kupitia watu wetu wenyewe Tena wasomi kabisa, wana-corrupt Ardhi yetu Ili tufe wote, tupate Madhara kama wao, nasi kwa ujinga wetu tunakubali...kuamka na kuelewa ni jukumu la MTU mmoja mmoja .
Huenda nikarudi Upya Katika hili kama nikipewa kibali Tena na WAZEE wangu waliotangulia Katika muundo Mwingine wa kuishi ambao hawako Katika Mwili kama Mimi.
Be blessed