Shemasi Jimmy
Member
- Apr 23, 2021
- 93
- 104
Kwenye ubongo wako kuna haka kabutton kanaitwa NUCLEUS ACCUMBENS. Haka ndio kanakufanya unakuwa mtumwa wa pornography, mlevi wa kupindukia, madawa ya kulevya, kamari na kubeti, vyakula vya hovyo, na addiction nyingine zote. Ukicheza na haka kanakuharibia maisha for good!