Tafuta mke ukiwa katika mazingira magumu

Maokoto yakiwa kiungo jua ipo siku mtaachana tu. 😀 Akipatikana mwenye namba kukuzidi utaachwa mchana kweupe wanawake wenye tamaa ya hela hawajuagi kuridhika.
Sasa ndo msijifanye hamna hela kabisa.. mtawatesa...ww kuwa nazo ila mpime kwny hizo hizo hela siku unamwambia huna uone atakusaidiaje...siku una mwambia akusaidie na yeye kidogo umekwama uone atakupa? Hivyo ndo vipimo..ila kujifanya kapuku kabisa mhhh...
 
Well, huo ni mfumo wa maisha ya dada zetu toka enzi hata leo hali hio ipo tena nadhani imezidi kiwango.

Wanawake wanapendaga mtu mwenye value, iwe ni fedha au umaarufu ama chochote kitakachokufanya u stand out kwenye jamii. Hili sio tatizo endapo dhamira ni kufanya maisha pamoja ila shida inakuja tunapokuwa abused.

Kadri utandawazi ulivyoongezeka hali imekuwa mbaya zaidi maana wanawake tamaa zimezidi huku wakitamani kila mtu mwenye fedha wamtumie kwa manufaa binafsi. Lengo ni kunyonya mandezi wenye hela wasiojua matumizi sahihi na kuzitapanya. Zikiisha anahamia kwa mwengine. Huu ni ujinga mno.
 
Hii sawa naunga mkono hoja ila sio mwanaume ndio ufanye ndio utaratibu kuitegemea hela au msaada wa mwanamke wako.
 
Mwambie mtu ukweli kama huna kitu au uko vizuri or kawaida, usifake maana kuna wenye upendo wa kweli hawataangalia mali zako ndiyo wakukubalie. Yafaa nini kuwa na mtu uliyempendea hela zake ila moyoni hayupo kabisa Unashindwa hata kuongozana naye barabarani? 🤔
 
Maokoto yakiwa kiungo jua ipo siku mtaachana tu. 😀 Akipatikana mwenye namba kukuzidi utaachwa mchana kweupe wanawake wenye tamaa ya hela hawajuagi kuridhika.
Mm nlitaka nishangae Boss wangu hujatimba uziii huu kuja kuelimisha vijana

Cha msingi ni kumwomba MUNGU tu maana haya mambo hayana formula ya uhakika unaweza dhani umepata kuumbe umepatikana
 
Uambiwe ukweli sina jambo ili unikatae 🤣? Nani anataka kuwa single milele
 
Tatizo huwa mu wanafiki sana yani. Ukionesha hela amna demu anakataa hata wale wezi wanaopenda offer watakuzunguka kama Mwenge 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…