upo sahihi mzee ila wanawake hawakubaligi kuambiwa ukweli sikuzote huaminigi uongo tongoza demu umwambie mi ni mumachinga wa kawaida kila siku jua langu mvua yangu samtaim napigaga ndefu uone kama utampata .wazee walikuwa wananisimulia walipo kuwa wanatafuta wake walikuwa wana azima pamba,akiona funguo ya gari,piki piki funguo za nyumba anaokota baadae anafunga lundo la funguo kwenye key chain.kwa hiyo dem alikuwa akipigwa swaga anaonyeshwa funguo za land kuruza anapagawa mwishowe anaamua kung'oa mke,wanawake hawakubali ukiwa ambia maisha yako halisi unakosa mke,wanawake wameumbwa kwa ajili ya kudanganywa rejea hata kwenye bustani ya edeni,