Tafuta mke ukiwa katika mazingira magumu

Na hu ndio ukweli mzito…
Wadada wanapenda uwongo
Ukimdanganya ndio unampata
 
Kuna mdada alikuwa hataki kuongozana na mimi barabarani eti ananiambia watu wakituona inakuaje, gheto haji, vizinga ananipiga, blady faken, queen popote ulipo, ubwa weee financial services
 
Hasa kiuchumi, hata kama upo vizuri. Jifanye huna kitu, usijionyeshe, acha mbwembwe na usanii. Je, njia hii yaweza wasaidia vijana?

Rejea, akufaae kwa dhiki.
Kama ni dhiki acha zije zenyewe! Epuka kabisa 'kupretend' utampoteza unayempenda kwa dhati!

Vijana acheni majaribu yaje yenyewe msiyatafute!
 
Oa mwanamke yeyeto umpendae ukimpata mwema utamshukuru Mungu ukikosea utakuwa mwalimu mzuri wa ndoa kuwashauri wengine wasikosee
 
Kuna mdada alikuwa hataki kuongozana na mimi barabarani eti ananiambia watu wakituona inakuaje, gheto haji, vizinga ananipiga, blady faken, queen popote ulipo, ubwa weee financial services
Sasa hapo mwishoni ni mimi ama nani huyo aliyekua hataki kuongozana na wewe? Ndiyo shida ya kupendewa hela hiyo, hupendwi wewe inapendwa pochi 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…