Tafuta mke ukiwa katika mazingira magumu

🤣🤣🤣🤣🤣 Sasa kwani financial services ndio huyo kwini wako?
Financial services mbona ni mtu poa kwangu huyu mdada wa watu, shida ni huyu queen, hahahaaa eti alinipa sharti nikitaka aje anitembelee nimnunulie simu, maana yake alipoteza, sijui huyu mdada alinidharau na kuniona mshamba kiasi gani, Kiukweli nina mwonekano wa ukimya, alidhani mimi ni boya sijui.. Atoto financial services
 
Ujumbe murwa kabisa sema kumpata mwanamke anayeweza kukuvumilia ndo kipengele sasa
 
Binti aliamini na kutaka kuolewa na mwanaume wa miaka sitini? Basi hana akili.
 
Unazungumzia kuanza kupiga nyeto au kuoa

maana hata wewe ukiimajini tu pasipo hakili ya bangi ungekuwa mwanamke usingekubali kuona wengine wanaolewa na vibopa wenye "lendi kuruza"halafu wewe uolewe na mwokota makopo wa kisesa hivi hii inaingia akilini

vijana hebu acheni uvivu Tafuteni hela kama huna hela tembelea bafu za "gesti hausi" okota sabuni zilizosahaulika au kuachwa kapige nyeto geto.
FULL STOP
 
Kwa maisha ya sasa ni wachache sana watakaopatikana kwa namna hiyo,si rahisi mtu kuchagua kwenda panapoonekana na maisha magumu hata kama yeye mwenyewe ana maisha magumu.
 
Pole mwaya.
 
Hasa kiuchumi, hata kama upo vizuri. Jifanye huna kitu, usijionyeshe, acha mbwembwe na usanii. Je, njia hii yaweza wasaidia vijana?

Rejea, akufaae kwa dhiki.
Mkuu nakukumbusha tuu akufaaye kwa dhiki ndiye RAFIKI WA KWELI na wala siyo mke, hili ukae ukilijua

Nb. Mwanamke hawezi kuwa rafiki yako
 
Kwa wale wakuoa bora uoe rafiki yako wa mda mrefu kinyme na apo kataa ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…