Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 2,406
- 8,039
Financial services mbona ni mtu poa kwangu huyu mdada wa watu, shida ni huyu queen, hahahaaa eti alinipa sharti nikitaka aje anitembelee nimnunulie simu, maana yake alipoteza, sijui huyu mdada alinidharau na kuniona mshamba kiasi gani, Kiukweli nina mwonekano wa ukimya, alidhani mimi ni boya sijui.. Atoto financial services🤣🤣🤣🤣🤣 Sasa kwani financial services ndio huyo kwini wako?