Sa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 5,214
- 10,276
Mzee wa vipinchi naona umedadavua kwa mabana yake.Well, huo ni mfumo wa maisha ya dada zetu toka enzi hata leo hali hio ipo tena nadhani imezidi kiwango.
Wanawake wanapendaga mtu mwenye value, iwe ni fedha au umaarufu ama chochote kitakachokufanya u stand out kwenye jamii. Hili sio tatizo endapo dhamira ni kufanya maisha pamoja ila shida inakuja tunapokuwa abused.
Kadri utandawazi ulivyoongezeka hali imekuwa mbaya zaidi maana wanawake tamaa zimezidi huku wakitamani kila mtu mwenye fedha wamtumie kwa manufaa binafsi. Lengo ni kunyonya mandezi wenye hela wasiojua matumizi sahihi na kuzitapanya. Zikiisha anahamia kwa mwengine. Huu ni ujinga mno.