Tafuta mke ukiwa katika mazingira magumu

Tafuta mke ukiwa katika mazingira magumu

Well, huo ni mfumo wa maisha ya dada zetu toka enzi hata leo hali hio ipo tena nadhani imezidi kiwango.

Wanawake wanapendaga mtu mwenye value, iwe ni fedha au umaarufu ama chochote kitakachokufanya u stand out kwenye jamii. Hili sio tatizo endapo dhamira ni kufanya maisha pamoja ila shida inakuja tunapokuwa abused.

Kadri utandawazi ulivyoongezeka hali imekuwa mbaya zaidi maana wanawake tamaa zimezidi huku wakitamani kila mtu mwenye fedha wamtumie kwa manufaa binafsi. Lengo ni kunyonya mandezi wenye hela wasiojua matumizi sahihi na kuzitapanya. Zikiisha anahamia kwa mwengine. Huu ni ujinga mno.
Mzee wa vipinchi naona umedadavua kwa mabana yake.
 
nilifanya jaribio la kuoa nikatuma mshenga akaeleze muoji hana kazi ya kipato cha kueleweka, amepanga chumba, hana kitanda na godoro analalia maboksi chini, maisha yake hayana msisimko wa mali, ana miaka sitini. Binti alikubali akasema huyo ndio mzuri tutaanza naye maisha chini na tutafanikiwa. Binti alikuwa na mtazamo wa aina yake tofauti na wengine wanaoangalia ujazo wa mali ndio wakubali kuolewa
Duuu mkuu una bahati ya mtende🤣🤣
 
Mie naamini mtu yoyote ili uishi kwa Raha tafuta mtu ambae anakupenda hakuna mwanamke asiependa kitu aisee wanawake wote ndio walivyo xo make sure jua namna ya kumcontrol tu na pia usisahau hela utatua matatizo mengi
 
Kuna jamaa alipata ajali.....alilazwa hospitali....Kuna nesi alimhudumia vizuri...hata siku akiwa off humletea chochote.....kwa kifupi jamaa alikuja kumuoa yule nesi....Leo hii wanawajukuu.....ndoa ipo barabara.
Alpha blond yeye alisanda mpka leo anamsaka nesi Fanta
 
Maokoto yakiwa kiungo jua ipo siku mtaachana tu. 😀 Akipatikana mwenye namba kukuzidi utaachwa mchana kweupe wanawake wenye tamaa ya hela hawajuagi kuridhika.
you nailed it kaka.

There are always bigger fishes than you, kama ulimpata kwa pesa jua kuna possibility kubwa ya kuachwa wenye pesa zaidi yako wakija
 
Hasa kiuchumi, hata kama upo vizuri. Jifanye huna kitu, usijionyeshe, acha mbwembwe na usanii. Je, njia hii yaweza wasaidia vijana?

Rejea, akufaae kwa dhiki.
Hili ni lako tu. Ukiwa na dhiki siku ukizipata utafanyeje?

After all mapenzi ya siku hizi ni kuvumiliana tu ili msogee mbele.
 
Hasa kiuchumi, hata kama upo vizuri. Jifanye huna kitu, usijionyeshe, acha mbwembwe na usanii. Je, njia hii yaweza wasaidia vijana?

Rejea, akufaae kwa dhiki.
Wanawake wa siku hizi hawako hivyo mtasota wote mkitoboa tu unapigwa knockout unalala njeeee
 
Back
Top Bottom