Huruma siyo malezi
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 1,433
- 3,210
Uko sahihi aslimia zote, ukiwa kwenye raha huwezi kujua yupi fisi yupi mbuzi wote wanatabasam sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora wafanye hivi,hiyo ya kujifanya hawana kabisa ni ukatili wa kijinsia,ukemewe!Sasa ndo msijifanye hamna hela kabisa.. mtawatesa...ww kuwa nazo ila mpime kwny hizo hizo hela siku unamwambia huna uone atakusaidiaje...siku una mwambia akusaidie na yeye kidogo umekwama uone atakupa? Hivyo ndo vipimo..ila kujifanya kapuku kabisa mhhh...
Labda Mama yako Mzazi awa viumbe wengine mwambie unapiga kazi za msoto na huna maokoto siku 2 nyingi ushakimbiwaMkuu kuna atakayekupenda wewe jinsi ulivyo
Kuna wanawake wameweka Pesa mbele kutokana na mazingira waliyokulia na sometimes marafiki kuna baadhi ya marafiki wa kike uwaharibu wenzao kwa kuwafunza ujinga aidha kwa kutaka kuwaharibia au kwa kufanya tu makusudi,pesa zinatafutwa tu ila kwanza upendo ujue
Mkuu wapo wastaarabu ambao watakupenda kwanza ulivyo mambo ya pesa yanaongeleka mtatafuta wote⛹♀️Labda Mama yako Mzazi awa viumbe wengine mwambie unapiga kazi za msoto na huna maokoto siku 2 nyingi ushakimbiwa
kuna mzee kaanzisha uzi huko anatema shit kwa vijana wanaojitafuta.... huu ushauri wake haufany kaziNani atakubali kuolewa bila kujua uhakika wa maisha mazuri? Wazazi wenyewe ni kikwazo kutoa binti yao aolewe na asiye na kitu