Busizole76
New Member
- Jun 19, 2022
- 4
- 0
Ukitaka kujua ubora wa eneo unalofikiria kuhamia kwa kujenga makazi au kupanga tafuta eneo hilo wakati wa kipindi cha mvua. Itakusaidia kujua miundombinu kama inapitika au haipitiki. Kipindi cha ukame huwezi kujua na muda huo madalali hupata nafasi ya kuwachomekea wateja maeneo mabovu.