Tafuta pesa achana na siasa za Tanzania. Je, wajua Tanzania siasa ni ajira?

Atuli siasa bali ni ziada kama burudani baada ya kazi
 
Safi sana huyu ndie anaefanya watanzania wanakuwa maboya yasio jielewa.anawapotosha wabaki wanashabikia mpira peke yake bila kujadiliana kuhuisu nchi yao na uchumi unavyopelekwa.
Wanataka waitafume nchi kama mchwa peke yao mtanzanoa awe ameinama kama kondoo
Anataka watu wote waione ccm kama baba yao na mama yao amnao ni ujinga mtupu
Yaan nchi zenye watu wa ovuo mi tanzania na afrika kusini ndo maana unaona mtu hajui maana ya kupiha kura
Baada ya kurudisha chama hivho hicho madarakani .anaanza kulalamika hichi kimepanda mata ajiri hakuna wakati ni wewe ndio umewarudisha
Hawajui kama kura ndio siraha zeo za kuwaweka mahali wanapopataka
Kupiga kura na kutengeneza mjadara ndio fursa pekee ya kujua kesho mtaishi vipi.sio kulalamika kila siku
Unakuta jinaba zima linalalamika eti mimi sipigi kula kwani nawaneemesha wana siasa
Huo ni ujinga na ujuha
JADILIANENI KUHUSU NCHI YENU INAPELEKWA WAPI NA INATOKA WAPI??
JADILIANENI KUHUSU SIASA ZA NCHI YENU ILI MUWAJUE MAFISADI NA WAKIOKUJA KWA AJILI YA KUWATUMIKIA
SIO WEWE RAIA UMTUMIKIE MWAMASIASA.YEYE NDIE ANAETAKIWA KUWATUMIKIA
CHAMA KIKIKAA SANA MADARAKANI KIMAJIONA WAO KAMA MIUNGU WATAKALO WAAMULIA HAMUWEZI KUPINGA WALA KUWATOA MADARAKANI
NDICHO KIOJA KINACHOENDELEA TANZANIA


ACHENI KULALAMIKA CHUKUENI HATUA
Hawa watu wamejipanga na maandishi yao.mmoja wapo ndio huyu mwenye hii post
 
Uo unaitwa UKWEL MCHUNGU japo wataibuka wale wa upande ulee kukutukana kila aina ya tusi, na hiyo inasababishwa na wao kupingana na Nature na maisha ya Tz.

Kuna muda inafika inabidi upambane na kubase kto maisha yako Fulo stio, kupambania mambo ambayo huyawez ni kujichosha na kujiharibia ndoto zako.

Figh for your Destin bila kuwahusisha wengine usiowaweza kinguvu
 
Ilikuwa wakati wa ujima na enzi za bara giza
 
Wewe pia inajadili siasa, umepata faida gani?
 
Nenda kalipe tozo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…