Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi sana huyu ndie anaefanya watanzania wanakuwa maboya yasio jielewa.anawapotosha wabaki wanashabikia mpira peke yake bila kujadiliana kuhuisu nchi yao na uchumi unavyopelekwa.mentality km hizi ndizo zinazorudisha nyuma hii nchi, na pengne umeandika huu uzi unaona umeandika point...
.
hapo ni kuwa umeandika pumba boss
maisha ya kawaida ya kila siku wananchi yanategemea siasa kwa zaidi ya 85% na ndo maana nchi wanazijielewa wanasiasa wakichafukwa hakujawahi kuwa na amaani ni vita tuu ila kwa kuwa uku kwetu hatujui nn maana ya siasa tunaishia kuburuzwa tu.
Ilikuwa wakati wa ujima na enzi za bara gizaGUSSIE ;Vipi unakumbuka Mwalimu Nyerere alisemaje kuhusu Nchi ili ipate maendeleo inahitaji nnini?Alisema Watu,Ardhi na Siasa safi.Watu ni professional labours,Aridhi inajulikana kazi yake na Siasa safi ni mipango inayowekwa na viongozi ili kuleta maendeleo.Sara mbovu huleta matokeoa mabovu na sera nzuri huleta matokeoa mazuri .Hivo basi basi siasa ndiyo inaleta mwelekeo upi wakiuchumi .Una hoja nzuri lakini umeiandika kisiasa zaidi .
Jibu hojaUzi wa kijinga sana !
Wewe pia inajadili siasa, umepata faida gani?Usipokuwa na malengo na maono ya mbali utaishia kujadili maisha ya wana ccm na wanasiasa mpaka uzee wako huku hakuna faida unayopata zaidi ya kutengeneza duara la umaskini Katika familia yaani (Family poverty life cycle)
Mawazo yako ndio msimamo wa maisha ya watoto na wajukuu zako baadae,
Usipotafuta pesa za kutosha na kujenga familia imara utaishia kuilaumu serikali wakati wote na kuwaita waliowekeza kwa watoto wao mafisadi
Usipoangalia Faida na hasara Katika maisha kwa kila jambo unalofanya utakuwa na matatizo makubwa na umaskini mkubwa
Ulimjadili Rais Mkapa mwaka 1995-2005. Je, ulipata faida kiasi gani?
Ulimjadili Kikwete J mwaka 2005-2015. Je, ulipata faida kiasi gani?
Ulimjadili Magufuli JP mwaka 2015 mpaka 2021. Je, ulipata faida kiasi gani?
Na sasa unamjadili Chief Hangaya, Mama ambaye amejaza mapesa mtaani, Tenda kila kona ya nchi. Je, umepata faida kiasi gani?
Tangu mwaka 1995 hapo juu ungechukua maamuzi magumu ya kuunga mkono upande wa siasa zenye faida mwanao sasa angekuwa na miaka 27 na tayari ungekuwa umempenyeza kwenye siasa za Tanzania
Cha kushangaza yawezekana wewe na mtoto mpo hapa JF mnarudia makosa yale yale ya kujadili hasara badala ya upande wenye faida hivyo mzunguko wa umaskini wa Familia ni endelevu (an endless family poverty life cycle)
Lazima uunge mkono upande unaopata faida na sio upande unaopata hasara, Hakuna anayefanya biashara ili kupata hasara, Siasa za Tanzania ni kazi na ajira kama kazi zingine za Engineers, Doctors, Bankers, Architect
Hakuna mtu awe mbunge atakaye kupigania wewe upate maendeleo wakati wewe mwenyewe hutaki kupiganiwa na kuchagua upande wake wenye Faida
Tafuta pesa na tambua siasa za Afrika na Tanzania nia ajira, Tunawapigia watu Kula na sio kura
Jitafakari unalofanya lina faida na chukua hatua mapema
Katika maisha ni lazima kupima mambo kwa kuangalia faida na hasara, je ni faida gani unapata ukiwa mwana ccm na ni hasara gani unapata ukiwa Chadema?
Nenda kalipe tozomentality km hizi ndizo zinazorudisha nyuma hii nchi, na pengne umeandika huu uzi unaona umeandika point...
.
hapo ni kuwa umeandika pumba boss
maisha ya kawaida ya kila siku wananchi yanategemea siasa kwa zaidi ya 85% na ndo maana nchi wanazijielewa wanasiasa wakichafukwa hakujawahi kuwa na amaani ni vita tuu ila kwa kuwa uku kwetu hatujui nn maana ya siasa tunaishia kuburuzwa tu.