Tafuta Pesa Uamkiwe na wakubwa zako

Ulizoanika hapo ni za mboga tu! Sina elimu ya darasani ila hata nikijamba naambiwa "pole mzee " , ujue mimi ni kijana ila pesa inaleta heshima ya mzee mwenye busara. Nikitukana naambiwa asante mzee.
 
Ulizoanika hapo ni za mboga tu! Sina elimu ya darasani ila hata nikijamba naambiwa "pole mzee " , ujue mimi ni kijana ila pesa inaleta heshima ya mzee mwenye busara. Nikitukana naambiwa asante mzee.
Binadamu mahangaiko yote hayo mwisho wa siku utafukiwa chini futi sita..ila tuishi tu🀣
 
Siku ukishika milioni we utatembea na makopo kabisa

Sasa pesa Gani hiyo ya kuja kuringishia humu.

Ebooh!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…