Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Tafuta pesa wewe, sabuni, dawa ya mswaki havikai dirishani.
Tafuta pesa wewe, mb 500 siyo za kutumia week. Tafuta pesa wewe, hakunaga bei ya mwisho sh. Ngapi.
Tafuta pesa wewe weekend siyo kwa ajili ya kufua. Tafuta pesa wewe, uache kusema niwekee chips za kushiba.
Tafuta pesa wewe, kwenye kikao cha familia usipewe kazi ya kuwafungulia wengine soda.
Tafuta pesa wewe, Gongo la mboto, Mbagala, Chanika, Tandika, Vingunguti, Buguruni, Tandale, Manzese, Buza, Mwananyamala. Siyo sehemu za kuishi
Vijana wenzangu tutafute pesa kwa akili zetu zote bila kuchoka, pesa sabuni ya roho bhana.