Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Kabisa muda wa kutafuta pesa kwa nguvu ni umri wa ujana, sio kutafuta mishangazi kwa nguvu zote baadae uje utusumbueTafuta pesa wewe, sabuni, dawa ya mswaki havikai dirishani.
Tafuta pesa wewe, mb 500 siyo za kutumia week. Tafuta pesa wewe, hakunaga bei ya mwisho sh. Ngapi.
Tafuta pesa wewe weekend siyo kwa ajili ya kufua. Tafuta pesa wewe, uache kusema niwekee chips za kushiba.
Tafuta pesa wewe, kwenye kikao cha familia usipewe kazi ya kuwafungulia wengine soda.
Tafuta pesa wewe, Gongo la mboto, Mbagala, Chanika, Tandika, Vingunguti, Buguruni, Tandale, Manzese, Buza, Mwananyamala. Siyo sehemu za kuishi
Vijana wenzangu tutafute pesa kwa akili zetu zote bila kuchoka, pesa sabuni ya roho bhana.
View attachment 3204712
NiniSawa
πππ"Tafuta pesa pumbu halitoagi Unga Unga ukijikuna"π₯Ά
Hii dah mazese aiseee kwl inatupa asira ya kutafuta pesaTafuta pesa wewe, sabuni, dawa ya mswaki havikai dirishani.