Hahahahah
Hilo ndio la msingi, Kula kwa urefu wa kamba yakoAcha uoga mkuu, kelele za chura zisikuzuie kunywa maji tafuta wa size yako tu habari kwisha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umetishaKunawakati mtu umekaa na mkeo unapigwa wimbo wa roma na stamina
Sihitaji kibamiaaa!!! Mwanaume mashineee!!!...unakuta wife anakutumbulia macho[emoji23][emoji23]..machozi ndo yanapo nitoka nashindwa kumuliza nipo ktk kundi gan
Jitoe ufahamu tu siku moja umwulize, japo najua hatakupa jibu la kukuumiza moyo bali atakudanganya ili kukutia moyo.Kunawakati mtu umekaa na mkeo unapigwa wimbo wa roma na stamina
Sihitaji kibamiaaa!!! Mwanaume mashineee!!!...unakuta wife anakutumbulia macho[emoji23][emoji23]..machozi ndo yanapo nitoka nashindwa kumuliza nipo ktk kundi gan
duuh! Sipendi kishenzi kufanyiwa comparison katika relationship yani iwe kwa jema au baya.Mixed feelings ni pale mpenzi wako anapokusifia kuwa you are so much better in bed than her ex kwasababu the nigga had a massive cock.
There is a very thin line kati ya kibamia na mashine.
Ni kweli kabisa. Haitakiwi.duuh! Sipendi kishenzi kufanyiwa comparison katika relationship yani iwe kwa jema au baya.
Unaweza ukazimia pale unapomuuliza kama unakibamia au mashine alafu badala ya kukujibu anakuuliza swali kwanza "mashine unazijua lakini?"[emoji23] [emoji23]Jitoe ufahamu tu siku moja umwulize, japo najua hatakupa jibu la kukuumiza moyo bali atakudanganya ili kukutia moyo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Sasa nimeelewa kwanini jamaa anaamua kutomuuliza mkeweUnaweza ukazimia pale unapomuuliza kama unakibamia au mashine alafu badala ya kukujibu anakuuliza swali kwanza "mashine unazijua lakini?"[emoji23] [emoji23]
Ila kuna mambo mengine hatupaswi kuyawaza sana, hasa yale ambayo hatuwezi kuyatatua. Mfano hii issue ya kibamia hata ukijijua kuwa unacho hutakuwa na la kufanya, sana sana itakufanya uwe ni inferiority complexAya mambo we acha tu[emoji23] [emoji23]
Nashauri tuwe na heshima na zawadi alizotoa mungu kwa hiyo ni vyema mwanajamii LE MUTUZ kokobanga akapewa heshima ya kutoa proposal ya jina lingine baada ya KIBAMIAWakuu naomba niwashirikishe katika huu mjadala maana haka kajina Kamekua kakitumika kama silaha ya kutuathiri kisaikolojia Sisi wanaume.
Ukizinguana na demu tu kashakutangaza kwamba wewe ni kibamia. [emoji23] [emoji23]
Imefikia hatua Hadi mtu ukisikia hata kwenye wimbo vimetajwa mashine na kibamia mtu unaanza kujiuliza upo kundi gani. Na hapo ndio panapoboa zaidi maana walioanzisha hako kajina hawajatoa kipimo Kwamba Kuanzia hapa Hadi hapa ni kibamia na hapa ni mashine.kwaiyo maana yake ukiitwa kibamia au mashine na mwanamke ujue kakulinganisha na mshkaji wake mwingine[emoji17] .
Wanawake yenu tunayajua lakini Tunawasitiri, ebu tupumzisheni na hako kajina jamani. Au mnataka na Sisi tulete yenu mezani?
Nawasilisha.
Aisee naona saizi wanaita kilemutuz[emoji23][emoji23][emoji23]Wakuu naomba niwashirikishe katika huu mjadala maana haka kajina Kamekua kakitumika kama silaha ya kutuathiri kisaikolojia Sisi wanaume.
Ukizinguana na demu tu kashakutangaza kwamba wewe ni kibamia. [emoji23] [emoji23]
Imefikia hatua Hadi mtu ukisikia hata kwenye wimbo vimetajwa mashine na kibamia mtu unaanza kujiuliza upo kundi gani. Na hapo ndio panapoboa zaidi maana walioanzisha hako kajina hawajatoa kipimo Kwamba Kuanzia hapa Hadi hapa ni kibamia na hapa ni mashine.kwaiyo maana yake ukiitwa kibamia au mashine na mwanamke ujue kakulinganisha na mshkaji wake mwingine[emoji17] .
Wanawake yenu tunayajua lakini Tunawasitiri, ebu tupumzisheni na hako kajina jamani. Au mnataka na Sisi tulete yenu mezani?
Nawasilisha.
Aisee lemutuz atakua kwenye wakati mgumu sana kifikra maana nchi nzima imeshuhudia.Nashauri tuwe na heshima na zawadi alizotoa mungu kwa hiyo ni vyema mwanajamii LE MUTUZ kokobanga akapewa heshima ya kutoa proposal ya jina lingine baada ya KIBAMIA
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]