Tafuteni Jina lingine KIBAMIA linakera mno.

3a11162258cdb7b1b8fa3f5d0ebfaf20.jpg
Hahahahah
 
Mixed feelings ni pale mpenzi wako anapokusifia kuwa you are so much better in bed than her ex kwasababu the nigga had a massive cock.

There is a very thin line kati ya kibamia na mashine.
 
Kunawakati mtu umekaa na mkeo unapigwa wimbo wa roma na stamina
Sihitaji kibamiaaa!!! Mwanaume mashineee!!!...unakuta wife anakutumbulia macho[emoji23][emoji23]..machozi ndo yanapo nitoka nashindwa kumuliza nipo ktk kundi gan
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umetisha
 
Kunawakati mtu umekaa na mkeo unapigwa wimbo wa roma na stamina
Sihitaji kibamiaaa!!! Mwanaume mashineee!!!...unakuta wife anakutumbulia macho[emoji23][emoji23]..machozi ndo yanapo nitoka nashindwa kumuliza nipo ktk kundi gan
Jitoe ufahamu tu siku moja umwulize, japo najua hatakupa jibu la kukuumiza moyo bali atakudanganya ili kukutia moyo.
 
Hilo ni jina lililoɓuniwa na wanawake wa dar kwa saɓaɓu ƴa uvivu wa wanaume wa dar.Lakini huku miƙoani ni jina la ƙuiga.Itapendeza ikiitwa lemtuzzzz[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hapo wa mkoani nimefarijika.
 
Mixed feelings ni pale mpenzi wako anapokusifia kuwa you are so much better in bed than her ex kwasababu the nigga had a massive cock.

There is a very thin line kati ya kibamia na mashine.
duuh! Sipendi kishenzi kufanyiwa comparison katika relationship yani iwe kwa jema au baya.
 
Jitoe ufahamu tu siku moja umwulize, japo najua hatakupa jibu la kukuumiza moyo bali atakudanganya ili kukutia moyo.
Unaweza ukazimia pale unapomuuliza kama unakibamia au mashine alafu badala ya kukujibu anakuuliza swali kwanza "mashine unazijua lakini?"[emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Sasa nimeelewa kwanini jamaa anaamua kutomuuliza mkewe
 
Aya mambo we acha tu[emoji23] [emoji23]
Ila kuna mambo mengine hatupaswi kuyawaza sana, hasa yale ambayo hatuwezi kuyatatua. Mfano hii issue ya kibamia hata ukijijua kuwa unacho hutakuwa na la kufanya, sana sana itakufanya uwe ni inferiority complex
 
Ifike mahali tuache kuwaza mambo ya kipuuzi ili neno la kibamia linakera tena sana sana ila basi tu...!
 
Wakuu naomba niwashirikishe katika huu mjadala maana haka kajina Kamekua kakitumika kama silaha ya kutuathiri kisaikolojia Sisi wanaume.

Ukizinguana na demu tu kashakutangaza kwamba wewe ni kibamia. [emoji23] [emoji23]

Imefikia hatua Hadi mtu ukisikia hata kwenye wimbo vimetajwa mashine na kibamia mtu unaanza kujiuliza upo kundi gani. Na hapo ndio panapoboa zaidi maana walioanzisha hako kajina hawajatoa kipimo Kwamba Kuanzia hapa Hadi hapa ni kibamia na hapa ni mashine.kwaiyo maana yake ukiitwa kibamia au mashine na mwanamke ujue kakulinganisha na mshkaji wake mwingine[emoji17] .

Wanawake yenu tunayajua lakini Tunawasitiri, ebu tupumzisheni na hako kajina jamani. Au mnataka na Sisi tulete yenu mezani?

Nawasilisha.
Nashauri tuwe na heshima na zawadi alizotoa mungu kwa hiyo ni vyema mwanajamii LE MUTUZ kokobanga akapewa heshima ya kutoa proposal ya jina lingine baada ya KIBAMIA
 
Aisee naona saizi wanaita kilemutuz[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nashauri tuwe na heshima na zawadi alizotoa mungu kwa hiyo ni vyema mwanajamii LE MUTUZ kokobanga akapewa heshima ya kutoa proposal ya jina lingine baada ya KIBAMIA
Aisee lemutuz atakua kwenye wakati mgumu sana kifikra maana nchi nzima imeshuhudia.
 
Back
Top Bottom