Unanitisha mkuu...Kaswende na Gono noma
Mzuka Wanajamvi! Nadhani Ngoma cha mtoto. Yani hii makitu ni hatariiii. Nimeshuhudia kwa mtu Yani akikojoa mkojo Kaa mlenda halafu haufiki chini unanata nata kwa kudunda hewani kwenda chini na juu. Tujiepusheni na ngono zembe!www.jamiiforums.com
Au nataka nipigwe Kitu kizito!!!!!¿¿¿View attachment 2359899
Nakuandaa tu kisaikolojia mkuuUnanitisha mkuu...
Salaam Wana JF nikianza kwa vyeo vyenu: new members, members, jf experts, naSalaam Wana JF nikianza kwa vyeo vyenu: new members, members, jf experts, na
wale ma Platinum members ambapo jf nzima tupo Mimi LABAN og na Mshana Jr
Back to the topic
Baada ya kufanya utafiti ( research) kwa muda wa miaka 20 nimekuja kugundua kuwa pesa Ina nguvu kubwa kuliko heshima ya mtu, umri hapa duniani especially kwenye mapenzi
Hili limetokea baada ya hapa kitaa nilipopanga kutrend habari za Mimi kumpiga Kitu kizito muhindi ( betting) nimeona rate ya dadaz wa Rika zote wakijisogeza kwangu......salaam haziishi......namba ngeni kila siku wakilalamika kuwa nmekuwa adimu ilihali wengi wao Ni married tayari!!!!!!!!
Nb. Vijana tafuteni pesa .....now nipo napanga ratiba ya kuanza kubandua mmoja mmoja[emoji23][emoji23]
Ushauri wenu.....vipi dozi iwe mara ngapi kwa siku????????
But ushauri uwe constructive tu (positive)[emoji23][emoji23][emoji23]
Upo ...New member[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uwiiiiih lol
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Mkuu....sisi pekee ndo Platinum members [emoji3][emoji3]Salaam Wana JF nikianza kwa vyeo vyenu: new members, members, jf experts, na
wale ma Platinum members ambapo jf nzima tupo Mimi LABAN og na Mshana Jr [emoji23][emoji23][emoji23]
Run..!
Labani og miyeyusho tu huyu[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu....sisi pekee ndo Platinum members [emoji3][emoji3]
Khaaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Upo ...New member