Tafuteni pesa, hakuna mke wa mtu

Tafuteni pesa, hakuna mke wa mtu

Hakuna mke wa mtu, ina maana hata mama yake ni mwendokasi? Ni mada ya kijinga kabisa, eti anatafuta pesa aanze kutembea na wake za watu? This is stupidity of the highest order!!
Ubaya ni kuwa.... wanajileta wenyewe
 
Salaam Wana JF nikianza kwa vyeo vyenu: new members, members, jf experts, na
wale ma Platinum members ambapo jf nzima tupo Mimi LABAN og na Mshana Jr

Back to the topic
Baada ya kufanya utafiti ( research) kwa muda wa miaka 20 nimekuja kugundua kuwa pesa Ina nguvu kubwa kuliko heshima ya mtu, umri hapa duniani especially kwenye mapenzi

Hili limetokea baada ya hapa kitaa nilipopanga kutrend habari za Mimi kumpiga Kitu kizito muhindi ( betting) nimeona rate ya dadaz wa Rika zote wakijisogeza kwangu......salaam haziishi......namba ngeni kila siku wakilalamika kuwa nmekuwa adimu ilihali wengi wao Ni married tayari!!!!!!!!

Nb. Vijana tafuteni pesa .....now nipo napanga ratiba ya kuanza kubandua mmoja mmoja[emoji23][emoji23]

Ushauri wenu.....vipi dozi iwe mara ngapi kwa siku????????
But ushauri uwe constructive tu (positive)[emoji23][emoji23][emoji23]
Salaam Wana JF nikianza kwa vyeo vyenu: new members, members, jf experts, na
wale ma Platinum members ambapo jf nzima tupo Mimi LABAN og na Mshana Jr [emoji23][emoji23][emoji23]
Run..!
 
Salaam Wana JF nikianza kwa vyeo vyenu: new members, members, jf experts, na
wale ma Platinum members ambapo jf nzima tupo Mimi LABAN og na Mshana Jr [emoji23][emoji23][emoji23]
Run..!
Mkuu....sisi pekee ndo Platinum members [emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom