Utakuwa tayari kunijibu maswali yangu??Tunatakiwa tujibu ukweli
[emoji13] [emoji13] [emoji13] akuu naogopaNjoo home..Nikupe na ile kitu roho inapenda
mimi mbona nimeweka yangu mkuu.Mi napenda kuuliza kwa ujumla humu JF mbona watu hawaweki Avatar zao halisi? Kuna nn? Sura ngumu au?
Mkuu kwa honey faith inabidi uwe mvumilivu..Mana kuna foleni kubwa..Mpaka zamu yako ifike sio leoMimi nina swali kwa huyu Honey Faith .
Kwanini unapenda sana kuutesa moyo wangu lakini?
Bado hadi ndoa [emoji4][emoji4]Kwani na we bado hawajakuzindua?
Mkuu kwa honey faith inabidi uwe mvumilivu..Mana kuna foleni kubwa..Mpaka zamu yako ifike sio leo
hahahahaha asigwa nipende napenda kupendwaMimi namuuliza mwanadada Mulhat Mpunga , hivi naruhusiwa kukupenda kama navyozipenda posts zako humu JF???
Nina miaka 65.B. Babu Asprin unaumri gani kwa sasa? Je hauoni ni wakati mwafaka wa kutuachia warembo na sisi tusuze Rungu zetu wajukuu zako?
Nina miaka 65.
Muda muafaka ulishafika kitambo, sasa mi nifanyeje kamam vijana mmeshindwa kazi wajukuu wanajileta wenyewe??
Katika somasoma yako, hujawahi kukutana na msemo "ng'ombe hazeeki maini"?
Ukishayajua hayo, tafakari na chukua hatua kwa maana Msaada wa watu wa Marekani umeshasitishwa na Donald Trump.
Kwa sababu una adabu nzuri, nakuzawadia mjukuu wangu mmoja uburudike naye usiku kucha kwa gharama zangu.Hahaha... I'm satisfied. Kama pepa una A ya ndalichako
Kwa sababu una adabu nzuri, nakuzawadia mjukuu wangu mmoja uburudike naye usiku kucha kwa gharama zangu.
Chagua mmoja kati ya hwa wafuatao
1. Valentina ... Huyu ana chura la kufa mtu
2. Honey Faith Haka ni kapotabo, unakabeba utakavyo.... ila kanapenda sana style ya popo kanyea mbingu
3. Heaven Sent ... Huyu ni wa wastani sema ni mnoko balaa... hakupi gemu kabla hamjasali
4. espy .... Haka hakajui kukataa giza likiingia. Ila hakana ushirikiano sana kwenye uchezeshaji wa viungo...
Haya kamata Valentina ukafanye naye burudani.[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]..babu niligangiwa vyura. Nikiiona tu nadondosha udenda.
Valentina ananifaa na huo mpododooo wake.
Honey Faith baadae saana
Heaven Sent ni shemeji yangu
espy anapenda pesa saana walet itakonda
mi na sura nzuri mbona.Mi napenda kuuliza kwa ujumla humu JF mbona watu hawaweki Avatar zao halisi? Kuna nn? Sura ngumu au?
Weka picha akomi na sura nzuri mbona.
hapana siwezi kudate na mwanaume asiyekuwa na pesa labda tu kama naona anamawazo ya kupata hiyo pesaMi nianze na huyu dada yangu
miss chagga Hivi unaweza kudate na mwanaume asiyekupa pesa?