miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
tunaogopa kuwa attacked na sura za baba zetuMi napenda kuuliza kwa ujumla humu JF mbona watu hawaweki Avatar zao halisi? Kuna nn? Sura ngumu au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tunaogopa kuwa attacked na sura za baba zetuMi napenda kuuliza kwa ujumla humu JF mbona watu hawaweki Avatar zao halisi? Kuna nn? Sura ngumu au?
Dogo vipi na leo ulipita juani?Kwa sababu una adabu nzuri, nakuzawadia mjukuu wangu mmoja uburudike naye usiku kucha kwa gharama zangu.
Chagua mmoja kati ya hwa wafuatao
1. Valentina ... Huyu ana chura la kufa mtu
2. Honey Faith Haka ni kapotabo, unakabeba utakavyo.... ila kanapenda sana style ya popo kanyea mbingu
3. Heaven Sent ... Huyu ni wa wastani sema ni mnoko balaa... hakupi gemu kabla hamjasali
4. espy .... Haka hakajui kukataa giza likiingia. Ila hakana ushirikiano sana kwenye uchezeshaji wa viungo...
Babu una laana wewe wallahKwa sababu una adabu nzuri, nakuzawadia mjukuu wangu mmoja uburudike naye usiku kucha kwa gharama zangu.
Chagua mmoja kati ya hwa wafuatao
1. Valentina ... Huyu ana chura la kufa mtu
2. Honey Faith Haka ni kapotabo, unakabeba utakavyo.... ila kanapenda sana style ya popo kanyea mbingu
3. Heaven Sent ... Huyu ni wa wastani sema ni mnoko balaa... hakupi gemu kabla hamjasali
4. espy .... Haka hakajui kukataa giza likiingia. Ila hakana ushirikiano sana kwenye uchezeshaji wa viungo...
Ha haa babu anakuingiza shimoni huyo[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]..babu niligangiwa vyura. Nikiiona tu nadondosha udenda.
Valentina ananifaa na huo mpododooo wake.
Honey Faith baadae saana
Heaven Sent ni shemeji yangu
espy anapenda pesa saana walet itakonda
Asprin ana miaka 22 tu kwa sasa, kwahiyo vumilia tu, mko nae sanaaaaa.Nina maswali mawili ambayo yamegawanyika kwenye vipengele a na b .
A. i. STUNTER kwanini haujamjibu venossah?
ii. venossah kwanini umeuliza swali la kimtego kimtego namna hiyo?
B. Babu Asprin unaumri gani kwa sasa? Je hauoni ni wakati mwafaka wa kutuachia warembo na sisi tusuze Rungu zetu wajukuu zako?
Itabidi usubiri kama miaka 7 ijayo, kwasasa ana ujauzito ambao hata yeye hamtambui baba na soon anajifungua.Mimi nina swali kwa huyu Honey Faith .
Kwanini unapenda sana kuutesa moyo wangu lakini?
Mkuu naona umejiandaa kwa mateso..Haya bana..Kila la kheriMhhh Foleni???????
Hakuna sehemu isiyo na foleni bwana.
Hata kanisani tunavyotoa sadaka tunapanga foleni.
Dar yenyewe na ile foleni kubwa kuna watu wanawahi kazini kila siku na wanaamka saa moja kamili.
Itabidi usubiri kama miaka 7 ijayo, kwasasa ana ujauzito ambao hata yeye hamtambui baba na soon anajifungua.
Mkuu naona umejiandaa kwa mateso..Haya bana..Kila la kheri
Lasivyo jiunge tu kwa foleni maana hana hiyana.Hahahahaha,
Wewe mbona unamsemea jamani?
NajitahidI kutoa pia tena sana hilo nipo vizuriPrinsipo ya "Give and take" kwako imekaaje??..Na we uwa unatoa pia?
Lasivyo jiunge tu kwa foleni maana hana hiyana.
Mie ndio msemaji wake.Hahahaha, jamani wewe!
Mbona unamsemea mwenzako?
Mie ndio msemaji wake.