Tag and Ask

Tag and Ask

Kwa sababu una adabu nzuri, nakuzawadia mjukuu wangu mmoja uburudike naye usiku kucha kwa gharama zangu.

Chagua mmoja kati ya hwa wafuatao
1. Valentina ... Huyu ana chura la kufa mtu
2. Honey Faith Haka ni kapotabo, unakabeba utakavyo.... ila kanapenda sana style ya popo kanyea mbingu
3. Heaven Sent ... Huyu ni wa wastani sema ni mnoko balaa... hakupi gemu kabla hamjasali
4. espy .... Haka hakajui kukataa giza likiingia. Ila hakana ushirikiano sana kwenye uchezeshaji wa viungo...
Dogo vipi na leo ulipita juani?
 
Babu una laana wewe wallah
 
Nina maswali mawili ambayo yamegawanyika kwenye vipengele a na b .
A. i. STUNTER kwanini haujamjibu venossah?
ii. venossah kwanini umeuliza swali la kimtego kimtego namna hiyo?
B. Babu Asprin unaumri gani kwa sasa? Je hauoni ni wakati mwafaka wa kutuachia warembo na sisi tusuze Rungu zetu wajukuu zako?
Asprin ana miaka 22 tu kwa sasa, kwahiyo vumilia tu, mko nae sanaaaaa.
 
Back
Top Bottom