Ni marafiki wa kudumu..
Weee NitakuchapaaMtu(numbisa) na dogo lake(da vinci)
Kama ME sawa kama KE umeshawahi kufikiria kuongeza kiwango cha huo urafiki wa kudumu!?..Ni marafiki wa kudumu..
Weee Nitakuchapaa
Kiukweli nampendaa mno..Kama ME sawa kama KE umeshawahi kufikiria kuongeza kiwango cha huo urafiki wa kudumu!?..
❤❤[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mna urafiki wa muda mrefu!?.Kiukweli nampendaa mno..
Anajua hilo.
More than one year..Mna urafiki wa muda mrefu!?.
Lakini si unajua 'uumbaji haujaishia pale?'.