Tag members wawili unaowakubali sana hapa JF

Tag members wawili unaowakubali sana hapa JF

Makiseo
Prishaz

Huwa nawakubali tu walivyo wakimya humu Jf na huwezi waona wakiandika hovyo hovyo kama ndugu yao Shadeeya hapa 😅 na sidhani pia kama wana mazowea na watu wale. 🙈

Heshima kwenu na kukweli nawakubali sana nyie wadada. 🤝
Kutokuandika mara kwa mara nacho kipaji,
Mimi niliamua kufungua verified Id ili angalau nijifunze kufunga mdomo lakini wapi, kila siku nayaporomosha tu.
Miaka ya mbele watu wakianza kufukua makaburi yangu, Mungu pekee ndo anajua 😀😀😀😀
 
Wawili tu?! Wengine tunao mia kidogo ila kwa kuanzia nakazia hao hao uliowatag wewe.
Shunie haka kababe nakapenda kabisa kwanza kako charming, pili ni mfuasi wa mastory anayopost huko entertainment.

Smart911 huyu mpendwa hanaga makuu, humkuti kwenye malumbano hasi hata kwa bahati mbaya. pia siku hizi kawa mtundu sana kwenye comments zake....ila mambo yake ngoja nimuachie mwenyewe.

Nyongeza:
#Maboss zangu na nusu 💕 Mjep yna2
# pia kuna bibi Zuu Zoë
.......na hapo bado kuna wale secret admirers ' nyie ndio mnaitaga ma-crush eeh! Hapa wako kama mia 3 ishirini.
Cheers babe..❤️
 
Umesema wawili na tuzingatie gender balance?
Paula Paul huyu hana maneno mengi.
The Boss huyu pia hana maneno mengi.
Wakitengeneza Couple itakuwa matata.

Ila ninao wengine.
Kasie the platinum K haumkuti kwenye ugomvi na mtu.
Depal kanajitia kichwa moto lakini kana akili.
Shunie napenda msemo wake wa Yesu akutunze.
Sky Eclat hana maneno maneno.
Na wengine wengi.
 
Wawili tu?! Wengine tunao mia kidogo ila kwa kuanzia nakazia hao hao uliowatag wewe.
Shunie haka kababe nakapenda kabisa kwanza kako charming, pili ni mfuasi wa mastory anayopost huko entertainment.

Smart911 huyu mpendwa hanaga makuu, humkuti kwenye malumbano hasi hata kwa bahati mbaya. pia siku hizi kawa mtundu sana kwenye comments zake....ila mambo yake ngoja nimuachie mwenyewe.

Nyongeza:
#Maboss zangu na nusu 💕 Mjep yna2
# pia kuna bibi Zuu Zoë
.......na hapo bado kuna wale secret admirers ' nyie ndio mnaitaga ma-crush eeh! Hapa wako kama mia 3 ishirini.

Depal much respect to you kabinti ka fulani...

Hata mimi nakukubali kinyama... na vile wanapenda kukuchokonoa kusudi jeshi la mtu mmoja... Ila yna2 msaliti kipindi cha jino kwa jino haonekani... anakua busy kutafuta khanga ya kujifunga zote hazimtoshi..

😀 😀 😀 Nimekua mtundu kuliko jamaa yake Kidawa... (John)...

True mambo yangu yasikuumize kichwa, niachiege mwenyewe...

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom