[emoji3531][emoji3531][emoji3531][emoji3531] love you mah, kanafasi kako hakajawahi chukuliwa na mtu akii. [emoji85][emoji85]Katoto tundu, kachokozi kangu. Nakapenda haka[emoji7][emoji7][emoji7]
Asante sanaaPole sana.
Hahaha huyo naonaga majibu yake ni makalii mnoo😂😂😂Thubutuuuu!! Labda kwa Khantwe ndio mtawezana
Awwww!! [emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3531][emoji3531][emoji3531][emoji3531] love you mah, kanafasi kako hakajawahi chukuliwa na mtu akii. [emoji85][emoji85]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahaha huyo naonaga majibu yake ni makalii mnoo[emoji23][emoji23][emoji23]
Ni mume wa mtu lakini. Nimefurahi kufahamu kuwa hunikubali hata kati ya wengi.Mkuu,wawili ni wachache mno
Nafasi ya kwanza inaenda kwa my all time crush tangu najiunga JF,namuona yeye tu japo simfahamu lakini napicture muonekano wake....popote ulipo kama utapita hapa jua nakukubali sana
chaliifrancisco na sis Khantwe najua mnajua nani namaanisha
Wa pili ni kina Depal Khantwe Carleen Saint Anne Hawachi Zoë mahondaw Shadeeya Sky Eclat karma sijui kabadili ID? Shunie Sakayo yna2 na wengine wachache waliobaki nimesahau IDs zao
ili utajwe inabidi uwe mzee wa kuDadeeq mpaka hapa sijatajwa ila kuna waliotajwa mara hazihesabiki halafu kuna wehu wa imani anakwambia binadamu wote sawa!
Anyways wale wa likes na vicheko nawakubali nyote na muumba awaepushe na corona. Msisahau kuvaa barakoa ila ukishinda nayo na unanuka mdomo, utavuna ulichopanda.
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Awwww!! [emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Asa kwani mume wa mtu haipiti arif?Ni mume wa mtu lakini. Nimefurahi kufahamu kuwa hunikubali hata kati ya wengi.
😂😂😂😂ili utajwe inabidi uwe mzee wa ku
[emoji117] like
[emoji117] kucomment
[emoji117] quote
[emoji117] kwenda DM
[emoji117] Chawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaaa nimeumia sana, yani umelidhulumu mnooo pato la taifa.Nakubali tu kukusupport manake nishasema sikubishii 😂😂😂
Lakini kiuhalisia sijawahi hata kuionja hiyo biereee
Toa baraka zako mam...au hutaki kukaa mbali na your son??Kwakuwa umewatag, hebu tusubiri maoni yao.
[emoji847][emoji7][emoji8][emoji3590]Wawili wachache sana.
Kataskopos
MO11
Kaboom
RRONDO
Hazard CFC
Mshana Jr
Don Clericuzio
Eli79
Elli Mshana
The Monk
Mnazareth
Roger Sterling
4G LTE
Watu8
Relief Mirzska
Kwa wanawake
Heaven Sent
Zoë
cute b
Sakayo
Shunie
DEMBA
TUMBOO
Saint Anne
Mama Sabrina
Noelia
Khantwe
Mzigua90
Heaven on Earth
lara 1
Hannah
Wangari Maathai
yna2
Na wengine ambao sijawataja.
Ukiniambia nianze kunywa pombe naanza...chochote nakubali 😁Daaaa nimeumia sana, yani umelidhulumu mnooo pato la taifa.
Kwa hiyo chochote wewe unanikubalia jojo?
Kumbe hujui Zoë ni mama yako mdogo?