Tag members wawili unaowakubali sana hapa JF

Unajua niko kwa ofisi afu nimechomekea trauza??

Basi ndo ujue umenikomoa leo. Siamki hapa kwa kiti nisije kuumbuka

Huna adabu mara saba sabini na nusu

Khaaaa....!

Pokea lile la kawaida kwanza kwenye lips wakati nikisubiri huyu Corona atoke kwenye boxer
 


Ooh Babuuu usijaliii aahahahahahhaaa

Tulia hapo hapo usiamke, nakuja kukuchukua, ntakufunika na msuli kisha ntakubeba mgongoni na hapo wala hutoaibika.

Nimepika keki ya tende, viazi vitamu, strawberry, kiwi and chocolate chips.

Hapo utashushia na denda la Kasie, ni alkasusu toshaaa.

Kesho aukiamka nakukanda na asali kuondoa uchovu wotee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…