Tag members wawili unaowakubali sana hapa JF


Kama upo serious mkuu, pole sana

Jipende, jithamini na wala usitegemea chochote toka kwa watu. Pia punguza kuukuza umuhimu wako kwenye maisha ya watu. Utaishi kwa amani kiasi
 
Sijasoma yote ila kwa vile nimehisi unayemsifia ni Heaven Sent imebidi nikupe like, she is indeed heaven sent.
 
Sijasoma yote ila kwa vile nimehisi unayemsifia ni Heaven Sent imebidi nikupe like, she is indeed heaven sent.
Malizia bana,unajua nimejitutumua kuandika gazeti mdogo wangu maana mimi mzee wa maneneo mawili. Wewe magazeti yako huwa nasoma ujue.
Kiukweli sista angu kabarikiwa siku hizi kaacha kuhubiri ,ilikuwa kawaida kuona gazeti na vifungu vya biblia alafu kasoma EGM. Alafu siyo mtu wa kuanzisha nyuzi,ana uzi mmoja tu.
 
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85] kumbe magazeti yangu huwa unasoma, basi usijali mkuu hata hivyo baada ya kulike na kuquote ile comment yako ilibidi niimalizie tu kuisoma.
 
Asante,nimeziona huwa naona kule kwenye uzi wa rikiboy unamwaga like tu, wewe kama mimi tu humu JF siyo watu wa mambo mengi.
Umesema Rickboy nikacheka sana.. Ule uzi nina muda sijausoma. Ngoja leo niutembeee
Tuendelee kutoa like tu kama Kucomment ni Issue basi hata Like Jamani[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale waliofuatana PM na kutongozana kupitia Uzi huu Mungu anawaona..

Madomo zege wote waliokua wanakosa pakuanzia, mpeni hata buku mtoa mada.

Wale ambao hatukutajwa Tutajane wenyewe. 😝 😝
 
Aisee namkubali Sana sweetapple maana ni mmoja ambaye kipindi bado mgeni kwenye id flan hiv nilishawahi kugombana nae kidogo ila tulikuja wekana sawa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] embu acha uvulagizi kwanza.
Mzee nakushauri jiachie katika kipindi hiki cha furaha. Kweli life is not fair, wenzio tunalia na COVD-19 wewe umepata burudiko la moyo na mwili kwa ujumla wake

Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…