Tag members wawili unaowakubali sana hapa JF

Nilikuwa katikati ya tukio moja amazing; some damn mixed feelings. All of a sudden nikaamua kuingia JF afu nikapata notification ya huu ujumbe wako; after reading this; nikaona naelekea ku-shade some tears. Nikatoka fasta

It's such a great feeling and a honor kujua kuna mtu anakufahamu tu kwa kukusoma online; lakini he thinks so highly of you... brod kid this means a lot to me; mnoo yani. Nilikuwa na siku nzuri afu ukaipendezesha zaidi siku yangu; ahsante sanaaaa

Ahhaa hiyo comment niliyolike celebrities hadi ukarudia kuisoma vizuri ni hiyo ipo? Lazima kuna kitu kilikuwa off kidogo kwako ndo maana ukashtuka na like yangu

Kule jukwaa la dini; sijui shetani ananitia uvivu nisimtumikie Mungu; will get back fully

Dada ako nipo kila sector; huo muziki navyouhusudu sasa, ndo maana nawakumbuka hata kina V2. Anyway; JF imekuwa part ya maisha yangu; pamoja na kukaa kwangu kimya; hakuna skku ambayo siingii JF kabisa; naingiaga na kupita kimya kimya. Ila najipanga nirudi bana; magazeti yamenimiss kwa kweli. Thanks loads mdogo angu




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha hadi na EGM unajua mweeeh
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa reply yako nzuri Big sissy,Kuna watu huwa wanafanya vitu ambavyo kwao ni kawaida ila kiukweli vinakuwa baraka kwa wengine mfano ni wewe Dada yangu. Unakuta mtu ume-Dodge chepo(church) unafikiri umeweza unaingia Jf unakutana na misa kwa kusoma michango ya watu unao wahusudu, Nazani iko ivyo kuna watu special mpo kwa ajiri ya kutukumbusha mienendo yetu.
Dada yangu huko celebrity timu zimekuwa dhaifu siyo kama zamani ambayo watu walikuwa wanatoana mijasho, so sishangai wewe kugeuka msomaji ni kawaida kuaacha madogo nao wajimwaye mwaye, huwa napita siunajua umbeya kidogo ni sunna.
Comments nyingi ambazo huwa nageuza shingo kujua kwa nini Dada angu kalike huwa hasa ni zile uzi watu wanabishana bila strong argument,so huwa zinatokea comment chache ambazo wanakuwa wanaweza kuelezea ukweli, sasa sisi wengine wazee wa ku-scroll ukikutana na like ya idol wako lazima usome.
Kiukweli nipo jukwaa la Dini lakini sielewi kinacho endelea sana kule, nafikiri ni special sana kwa watu wa Theology sababu ya mabishano (may be ndio maana liko private), Maana kumegeuka sehemu ya mabishano so ukiwa mtu unaejua historia ya dini unaweza kwenda sawa na watu wa upande wa pili na wale atheist.
Huwa nikisikia ile nyimbo ya keyshia cole yakuitwa Heaven sent huwa ghafla nakukumbuka siunajua nyimbo yenyewe ilivyo tamu. Umemisika big sissy

Ndaga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…