Tag members wawili unaowakubali sana hapa JF

Kusema ukweli watu wawili ni wa chache sana, nimejaribu kufanya filter imegoma kabisa
 
You are missed too lil brod. Kipekee nikushukuru kwa kunipa heshima kubwa kiasi hicho; utukufu ni kwa Mungu.

Mimi kwenye mabishano ya kidini; huwa ninajitahidi kunyamaza kimya: Mungu asije akanikemea bure. Alafu Imani ni kitu personal; so kila mtu ashike na kufanya anachokiaminj.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…