Gatete
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 378
- 401
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Awww [emoji8][emoji8]
Leo jumapili tutaruka sana kamba tukishakula pilau mchana
@sky eclatThanks I love you too [emoji176]
Kwahiyo unaniahidi niandae kabisa kamba sio!Leo jumapili tutaruka sana kamba tukishakula pilau mchana
YesKwahiyo unaniahidi niandae kabisa kamba sio!
Promise?
Haya poaYes
Aandaa kabisaa kamba jamani!
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Haya poa
i got youKujipendekeza just for fun,, yaan we kila uzi upo, comment ww, ku like ww, unakuwa hukauki humu jf,, hicho nacho ni kipaji ujue,,
Umenipata hapo?😂😂
Hahahaaa[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Hivi kile kigari kiliacha kukupigia makelele? 😂😂😂
Mkuu hadi makonda na wapiga debe hawakuelewi😀😆😀
Asante kwa reply yako nzuri Big sissy,Kuna watu huwa wanafanya vitu ambavyo kwao ni kawaida ila kiukweli vinakuwa baraka kwa wengine mfano ni wewe Dada yangu. Unakuta mtu ume-Dodge chepo(church) unafikiri umeweza unaingia Jf unakutana na misa kwa kusoma michango ya watu unao wahusudu, Nazani iko ivyo kuna watu special mpo kwa ajiri ya kutukumbusha mienendo yetu.
Dada yangu huko celebrity timu zimekuwa dhaifu siyo kama zamani ambayo watu walikuwa wanatoana mijasho, so sishangai wewe kugeuka msomaji ni kawaida kuaacha madogo nao wajimwaye mwaye, huwa napita siunajua umbeya kidogo ni sunna.
Comments nyingi ambazo huwa nageuza shingo kujua kwa nini Dada angu kalike huwa hasa ni zile uzi watu wanabishana bila strong argument,so huwa zinatokea comment chache ambazo wanakuwa wanaweza kuelezea ukweli, sasa sisi wengine wazee wa ku-scroll ukikutana na like ya idol wako lazima usome.
Kiukweli nipo jukwaa la Dini lakini sielewi kinacho endelea sana kule, nafikiri ni special sana kwa watu wa Theology sababu ya mabishano (may be ndio maana liko private), Maana kumegeuka sehemu ya mabishano so ukiwa mtu unaejua historia ya dini unaweza kwenda sawa na watu wa upande wa pili na wale atheist.
Huwa nikisikia ile nyimbo ya keyshia cole yakuitwa Heaven sent huwa ghafla nakukumbuka siunajua nyimbo yenyewe ilivyo tamu. Umemisika big sissy
Ndaga.
[emoji109][emoji109][emoji109][emoji123][emoji123][emoji123][emoji120]@sky eclat
Mshana Jr
Wapo wengi kwenye list ila hao hapo juu nawakubali sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Niwie radhi mpenzi wangu...[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Babu una nini na Mimi wewe???
Nimwachie mungu???
Sent using Jamii Forums mobile app