Tag members wawili unaowakubali sana hapa JF

Dada!!!!!
Nimeishiwa maneno... Heshima iliyoje hii??
Nashukuru sana sana.. Na wewe ni moja ya watu ninao wakubali sana humu Jukwaani.. Una hekima na busara ambazo kwangu mimi ni shule tosha kabisa.. Mungu akubariki.

Mazoea na watu wale yanaepukika sasa jamani!!unakuta nipo zangu nimetulia sina hili wala lile mtu huyo PM eti "Niambie"[emoji28][emoji28]Tunaenda nao tu hivyo hivyo.

Na mimi ngoja niwataje wakwangu.. Japokuwa nina wengi sana ninaowakubali zaidi ya MIA MOJA. Japo mleta mada atanisamehe nimetaja zaidi.
@ShadeeyaHeaven Sent na@Heaven on Earth
Humble African


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Your suggestion has been well taken.
Thank you Hannah.
 
Ahsante Smart... Ila huyu yna2 tumtafutie na vitenge ili kwenye ugomvi huko akose excuse za kuniacha peke angu.

Hahah sidhani kama we unaweza kuwa mkatili kama John... Ila wacha mambo yako nikuachie mwenyewe

Siwezi kua katili kama John...

Ila naweza kua bandidu kuliko John...

Sitaki maswali...


Cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…