Tag members wawili unaowakubali sana hapa JF

Tag members wawili unaowakubali sana hapa JF

Oh thank you so much mkuu kama huwa unanihisi hivo, i real appreciate it. [emoji122] unaonekana ni mcheshi Sanaa
Karibu sana

Kwenye ucheshi huwa nadhani watu wengi naturally ni wacheshi...ila ili uwaone katika their best ni mpaka wawe na watu ambao wana chemistry nao.

Bila shaka utakubaliana na mimi kwamba kuna watu ambao 'they often get the best out of you'. Ni kwasababu mna compatibility fulani.

Ofcourse, napenda funny jokes kusema kweli. Huwa nazisoma huko reddit na hapa JF navunjika mbavu.

Hii hapa nimeiona huko leo imenichekesha kama mwehu.

'A black Jewish boy runs home from school one day and asks his father, “Daddy, am I more Jewish or more black?” The dad replies, “Why do you want to know, son?” “Because a kid at school is selling a bike for $50 and I want to know if I should talk him down to $40 or just steal it!'


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom