Tag members wawili unaowakubali sana hapa JF

Tag members wawili unaowakubali sana hapa JF

Nawashukuru Wana jf wenzangu niliwapenda ila uhalisia umeonyesha hamnipendi kila zinapoanzishwa nyuzi Kama huwa sitajwi kamwe as if am nothing.nilijua Niko kwenye familia inayojali hisia kumbe hapana anyway nimewaelewa .

Kumbe mnavyowakatisha tamaa waliochoshwa na maisha huwa hamuigizi ndio nyie halisi mlivyo.

Hamjali hisia za wengine sikutegemea nitatajwa ila nilipitia uzi huu ili nione thamani yangu kwenu unfortunately am worthless!!


Kuanzia Leo nadhani sitatuma post yeyote iwayo mpaka naingia kaburini.

Kwaheri jf kwaherini (I planted my pumpkins on a desert)

Hamtaniona humu milele

Mimi sio attention sicker Ila nilijua kwamba humu Kuna watu wanaojali watu kumbe nop I was wrong

Mungu awe nanyi.

Chaoo
[emoji86]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom