Tag members wawili unaowakubali sana hapa JF

Tag members wawili unaowakubali sana hapa JF

Ahsante sana Maki. Humu naingia kila siku eti, ila kuna muda sijui ndo nakuwa tu mvivu wa kuandika magazeti lol
Dada Mkubwa siku hizi umekuwa mzee wa like,Naona sana unavyosambaza upendo kwa michango inayo kuvutia, Mtu akiniuliza HS wa JF ni mtu gani naweza kumuelezea vizuri sana jinsi ulivyo kupitia michango hadi mambo unayopenda humu.
Sijawahi kuona umetoa like kitu negative, siku moja nipo Celebrities naona Like zako katikati ya uzi. Nikarudia kusoma hiyo Comment vizuri nijue kwa nini Dada yangu kalike.
Siku moja nilishida simu humu Jamii forum,lilitolewa shindano lakuandika "Mahusiano ya China na Africa yanamchango gani katika maisha yetu", swali lilitaka kufanana na hilo. Niliandika zangu uongo na ukweli pale nikawa miongoni mwa washindi watano.
Sasa basi shida ikawa niko mwanza huu mzigo naupataje, Na walitaka mwenye ID personally aifwate, Nikamtumia mdogo wangu mmoja alikuwa chuo Ardhi, nikamwambia ukiulizwa member gani unawakubali waambie Heaven Sent MMU na Pasco siasani, pasco alikuwa na magazeti yanayovutia wakati huo Jf .Alivyofika Jf office aliambiwa alog in, baada ya hapo wakamuuliza maswali hayo hayo niliyo-guess, ila Heaven sent ilimchanga kidogo alitaja sijui Heaven nini anajua yeye. Ila kiukweli Big sissy ulikuwa mchango mkubwa hapa JF.
Kuna siku kuna nyimbo ilikuwa inatafutwa ukamtaja msanii kuwa ni V2 sijawahi msahau maana nyimbo yake nilikuwa naisikia sana wakati nakua, V2 ameshakuwa mtu mzima sana now ukimuona hauwezi kujua kama ndio yule mwenye umbo la umiss , nilimtafuta insta nikampata anaitwa "Thitu kariba" ila maisha yake ya bata hajaacha(kupenda maji) muda mwingi yuko swimming pool au ufukweni na watoto wake.
Mwisho, Huwa naona wakiwagusa admire zako wakina Nancy, Kaylyn unawashushua na Magazeti huwa nakufatilia kimya kimya, ni hayo tu sista angu nipo huku tangu 2011/2012 huwa naishia kusoma comment tu, ni mara chache sana nimemfata mtu PM nakumuelezea jinsi navyo mkubali,ila kwako niliona kwa hizi nondo za dada yangu hata siwezi kaa kimya. You are Appreciated HS
 
Dada Mkubwa siku hizi umekuwa mzee wa like,Naona sana unavyosambaza upendo kwa michango inayo kuvutia, Mtu akiniuliza HS wa JF ni mtu gani naweza kumuelezea vizuri sana jinsi ulivyo kupitia michango hadi mambo unayopenda humu.
Sijawahi kuona umetoa like kitu negative, siku moja nipo Celebrities naona Like zako katikati ya uzi. Nikarudia kusoma hiyo Comment vizuri nijue kwa nini Dada yangu kalike.
Siku moja nilishida simu humu Jamii forum,lilitolewa shindano lakuandika "Mahusiano ya China na Africa yanamchango gani katika maisha yetu", swalo lilitaka kufanana na hilo. Niliandika zangu uongo na ukweli pale nikawa miongoni mwa washindi watano.
Sasa basi shida ikawa niko mwanza huu mzigo naupataje, Na walitaka mwenye ID personally aifwate, Nikamtumie mdogo wangu mmoja alikuwa chuo Ardhi, nikamwambia ukiulizwa member gani unawakubali waambie Heaven Sent MMU na Pasco siasani, pasco alikuwa na magazeti yanayovutia wakati huo Jf .Alivyofika Jf office aliambiwa alog in, baada ya hapo wakamuuliza maswali hayo hayo niliyo-guess, ila Heaven sent ilimchanga kidogo alitaja sijui Heaven nini anajua yeye. Ila kiukweli Big sissy uoikuwa mchango mkubwa hapa JF.
Kuna siku kuna nyimbo ilikuwa inatafutwa ukamtaja msanii kuwa ni V2 sijawahi msahau maana nyimbo yake nilikuwa naisikia sana wakati nakua, V2 ameshakuwa mtu mzima sana now ukimuona hauwezi kujua kama ndio yule mwenye umbo la umiss , nilimtafuta insta nikampata anotwa "Thitu kariba" ila maisha yake ya bata hajaacha(kupemda maji) muda mwingi yuko swimming pool au ufukweni na watoto wake.
Mwisho, Huwa naona wakiwagusa admire zako wakina Nancy, Kaylyn unawashushua na Magazeti huwa nakufatilia kimya kimya, ni hayo tu sista angu nipo huku tangu 2011/2012 huwa naishia kusoma comment tu, ni mara chache sana nimemfata mtu PM nakumuelezea jinsi navyo mkubali,ila kwako niliona kwa hizi nondo za dada yangu hata siwezi kaa kimya. Your Appreciated HS
Tayari nimekupa mbili Mkuu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ooh Babuuu usijaliii aahahahahahhaaa

Tulia hapo hapo usiamke, nakuja kukuchukua, ntakufunika na msuli kisha ntakubeba mgongoni na hapo wala hutoaibika.

Nimepika keki ya tende, viazi vitamu, strawberry, kiwi and chocolate chips.

Hapo utashushia na denda la Kasie, ni alkasusu toshaaa.

Kesho aukiamka nakukanda na asali kuondoa uchovu wotee.
Najua unajua ahadi kama hizi mi nakuwaga mvumilivu sana
 
Back
Top Bottom