KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Si uzi wa kutumia akili kubwa ni sehemu ya burudani tu!..
Mtag mtu kisha andika sifa yake moja tu jinsi unavyomfikiria kutokana na vile anavyoitumia I'd yake lkn kwa kufuata sheria za jf isiwe uwanja wa matusi au kurushiana visirani..π
Mshana Jr
Mganga mashuhuri..!
Kasie a.k.a matata
Bibi mkorofi kitandani..π
Kiranga
Mtu mbishi tu!
Mzee Mwanakijiji
Hekima..
Chizi Maarifa
Jina linajieleza..π
Shunie
Mdada mkarimu..
MLEVi Mmoja
Mfano wa waliokuwa wanakula ada shuleni..π
GuDume
Mtu anaezeeka vibaya..π
Saint Anne
Kondoo wa bwana..
lliedie
Kabinti kapolee..π€
Depal
Mwenye misimamo lkn tatanishi..π
Miss Natafuta
Kamati ya kudang..aππ
Don Nalimison
Mtu mwenye malalamikoπ
Kiduku Lilo
Ile hela tuma kwenye namba hii..π
katoto kazuri
Anajifunza umbea..π
Money Penny
Kamati ya michambo na udaku..π
List iendelee..
Mtag mtu kisha andika sifa yake moja tu jinsi unavyomfikiria kutokana na vile anavyoitumia I'd yake lkn kwa kufuata sheria za jf isiwe uwanja wa matusi au kurushiana visirani..π
Mshana Jr
Mganga mashuhuri..!
Kasie a.k.a matata
Bibi mkorofi kitandani..π
Kiranga
Mtu mbishi tu!
Mzee Mwanakijiji
Hekima..
Chizi Maarifa
Jina linajieleza..π
Shunie
Mdada mkarimu..
MLEVi Mmoja
Mfano wa waliokuwa wanakula ada shuleni..π
GuDume
Mtu anaezeeka vibaya..π
Saint Anne
Kondoo wa bwana..
lliedie
Kabinti kapolee..π€
Depal
Mwenye misimamo lkn tatanishi..π
Miss Natafuta
Kamati ya kudang..aππ
Don Nalimison
Mtu mwenye malalamikoπ
Kiduku Lilo
Ile hela tuma kwenye namba hii..π
katoto kazuri
Anajifunza umbea..π
Money Penny
Kamati ya michambo na udaku..π
List iendelee..