Tag na weka sifa yake moja tu...

Tag na weka sifa yake moja tu...

Status
Not open for further replies.
Nataja wengi

Shadeeya
Mdada mstaarabu kama pacha wake hapa 😊

Sanchez magoli
Mvivu sana wa kuchat

chaliifrancisco
Kada mtiifu wa #YNWA anaweza akafa huyu kwa ajili ya team yake

SHIMBA YA BUYENZE
Mstarabu lakini nahisi kama mgomvi huyu

The Monk
Hana maneno mengi

Zoë
Mbishi huyu,akisimamia kitu tena kikiwa kinahusu utetezi wa wanawake anaweza kubishana na JF nzima

Nitaendelea....
Shukran sana Pacha wa mie. 🙏🙏🙏

Kweli kabisa Pacha sisi ni wastaarabu hasaa. 😀
 
Haha, Kenzy bwaaana.! Waambie wanichukue hapa kwa Mama basii.!! Nimechoka kukumbatia midoli.! 😅
Ikishindikana hata Mimi nitakuchukua..😜
Subiri muda wa bwana ufike Ila nawe uwe unajipitishapitisha sasa tukuone..😉
 
wa stendi
Fujo yumo,mikwara yumo,utembezi yumo,mtu anaeongea mpk mishipa inaonekana..😂

Rebeca 83
We dada nakuogopa!.. maana ulishawahi nichamba nikachambika😂
ila mpk mtu akuchokoze ndo yanaamka ya kwenu..😅

Mama Debora
Mlezi..

ledada
Dada fulani hivi munene lkn cute..😉
Ukizubaa nakufanya unakuwa mchepuko wangu..😜

nameless girl
Machepele..😂🏃
 
wa stendi
Fujo yumo,mikwara yumo,utembezi yumo,mtu anaeongea mpk mishipa inaonekana..😂

Rebeca 83
We dada nakuogopa!.. maana ulishawahi nichamba nikachambika😂
ila mpk mtu akuchokoze ndo yanaamka ya kwenu..😅

Mama Debora
Mlezi..

ledada
Dada fulani hivi munene lkn cute..😉
Ukizubaa nakufanya unakuwa mchepuko wangu..😜

nameless girl
Machepele..😂🏃

nina hamu kujua niliongea nini ukachambika... 🤣 🤣
 
Hahahahahaha😂😂angalia usije ukamsahau naniliuuu🏃‍♀️
Ha ha! Siwezi msahau.. na wala simtaji anajijua usije mrushia makombora ya nyuklia..😜
 
Majina yote unayajuaje asee..
Ha ha! Mkuu usitake niambia hujawahi kuwa muangaliziaji huko shule ya msingi..
Wengi niliowataja ni active member na nirahisi kuwa spot.. tayari wengi wao tushakutana kwenye mijadala mbalimbali so it's easy...
Nina miaka 5 humu kumbuka ni mengi pia..😅

Niliemmisi ni
miss chaga
Sijui kaenda wapi mchaga huyu asie na makuu kama junguu kuu Ila nahisi itakuwa majukumu na familia.. wachaga tena kwa hela..🏃

Nafaka
Ahsante kwa virtual world ambayo unashare nasi hapa jf.. mchango wako nauelewa.

Nyani Ngabu
Toka marekani tuje tulime magimbi huku..😂
Ila uache kujimwambafai..😜
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom