Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Tawile boss πππMheshimu nyonga mkalia ini tafadhali "manzi" π€£
Embu tafuta jina lingine mama fulani,mke wa..,mrs ... etc.
Katibu kakushika pabaya sana, alipo upo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tawile boss πππMheshimu nyonga mkalia ini tafadhali "manzi" π€£
Embu tafuta jina lingine mama fulani,mke wa..,mrs ... etc.
Eee sasa disco lishaingia masai, bora tukafanye kilimo cha watoto πππMkalaleπππ
Nimekufa nimeoza,π€£Tawile boss πππ
Katibu kakushika pabaya sana, alipo upo
Haya, mkalale na hii mvuaπEee sasa disco lishaingia masai, bora tukafanye kilimo cha watoto πππ
Nimeona na bibie naye kazama penziniNimekufa nimeoza,π€£
Hii mvua lazima tuitendee haki πHaya, mkalale na hii mvuaπ
π€£π€£π€£π€£ kheee! Unanichora tu au sioNimeona na bibie naye kazama penzini
Wakati kina mshamba wakimchombeza anawafurusha, ila kwako aaah kalegea anajichekea tu π
π€£ Muda wa kifungua kinywa na mnalala nini...ππππ Ushaniharibia biashara haya twende tukalale
Haya, nitaleta baby showerHii mvua lazima tuitendee haki π
Mahaba ndivyo yalivyo hivyoπNimeona na bibie naye kazama penzini
Wakati kina mshamba wakimchombeza anawafurusha, ila kwako aaah kalegea anajichekea tu π
Nakuona mdogo angu umezama mpk na mizimu ya kwenu, husikii la muhadhini wala mnadi swala ππππ€£π€£π€£π€£ kheee! Unanichora tu au sio
Nimekumbuka asee huyu mis eyez si ndio mshamba anampendaga sana?Nimeona na bibie naye kazama penzini
Wakati kina mshamba wakimchombeza anawafurusha, ila kwako aaah kalegea anajichekea tu [emoji12]
π€£π€£π€£ haswa.Nakuona mdogo angu umezama mpk na mizimu ya kwenu, husikii la muhadhini wala mnadi swala πππ
Tunaenda kutafuta watoto ππ€£ Muda wa kifungua kinywa na mnalala nini...
π€£π€£π€£ Mshamba anapenda kila mtuNimekumbuka asee huyu mis eyez si ndio mshamba anampendaga sana?
Dogo ana gundu sana yule
πππ Hapo ndio umeongea kitu cha maana sasaHaya, nitaleta baby shower
Jongeeni niwapikie magimbi mpate nguvu ya kujaza hii sayariπTunaenda kutafuta watoto π
Mwezi wa saba au nane nafikiri mambo yatakuwa sawa ππππππ Hapo ndio umeongea kitu cha maana sasa
Alafu wote wanamkataa[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mshamba anapenda kila mtu