Tag na weka sifa yake moja tu...

Status
Not open for further replies.
Hizo akili ungezitumia vizuri ungekuwa mbali kijana
 
Anaogopa kukuvunjia heshima bro ake
Huoni nimemwambia acha kakuacha
Acha kunigombanisha na shemeji yangu, nitakosa mtetezi siku ukizingua [emoji23][emoji23][emoji23]
Achangamke kidogo, aache unyonge [emoji23]

Sema namkubali aliniambia anasoma mbeya
 
Ukikaa nyumba ya vioo, usianzishe ugomvi wa mawe[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Crew iliundwa ili kunifurusha, nkawaambia km mapapa wao wameshindwa, ndo wao vidagaa wataweza? Kwan sio size angu ndo maana waliishia kujiliza kwa modes, na uzi ukafungwa.

Wao wamepoteana mazima, mie mtu mwenye JF angu naswampaaa km kalambwandaaa.
 
Ww si walitaka wakukimbize humu? Lamomy anawaonea huruma[emoji23]
Mshamba sina tatizo naye na ndiye aliyeniita kwenye huu uzi.
Me nina bifu na Mr mitraako mabakuli na shogaake Figo part 2 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kumekucha
Si ulilala wewe? Haya id ipi nikupe?
Ilee ya zamanii, [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mtu kanikalia kooni, anataka hii I'd.
Yaan siku nikiwa na ugwadu wa maokotoo namuachiaa.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mshamba sina tatizo naye na ndiye aliyeniita kwenye huu uzi.
Me nina bifu na Mr mitraako mabakuli na shogaake Figo part 2 [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu hamjui kusamehee??
 
[emoji23][emoji23][emoji23] una ngozi ngumu sana, jf yote tulikua tunakuchukia tukaweka hadi kupiga kura uondolewe. Mm nikasimamia zoezi, sema uliondolewa kweli, sijui ulirudi vipi tena[emoji23][emoji23]

Una ngozi ngumu sana [emoji23][emoji23][emoji23]

Ila zile mada zako sasa hivi umeacha
 
Achangamke kidogo, aache unyonge [emoji23]

Sema namkubali aliniambia anasoma mbeya
Mshamba ni mpole sana hata ugomvi hawezi kabisa!! Pamoja na kukaa Arusha lkn ni kijana mstaarabu.
Hajawahi kunikosea since day one kwenye uzi wangu hakua na makuu
Ila kina chiriku mule zilikuwa zinaongea hatareee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu hamjui kusamehee??
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Afu wote wamekimbia na babu yao
Kuna siku member mmoja alianzisha selfika part 2 zikamiminika foto humo aloooo
Ghafla uzi ukaliwa kichwa
 
Mjanja huyo alikua anakutaka[emoji23]

Anajua sana kusukuma kete[emoji23]
 
Mie sio mtu wa wanawake, hilo nina uhakika 100%, ingekuwa hivyo ningeshajaza yutong kadhaa, ila hata carina sijajaza😁
We endesha bodaboda tuweke mshikaki,mbele Manka Mimi nyuma ya Manka Carina yote hiyo ya Nini bbyπŸ˜…πŸ˜…?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Afu wote wamekimbia na babu yao
Kuna siku member mmoja alianzisha selfika part 2 zikamiminika foto humo aloooo
Ghafla uzi ukaliwa kichwa
Babu ni nani?

Leo weekend muda upo wa kutosha, usiwe unaweka codes wengine hatuwajui watu wengi huku[emoji23]
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…