Tag na weka sifa yake moja tu...

Tag na weka sifa yake moja tu...

Status
Not open for further replies.
Wala usipate shida nishamjua, ni yule national antem.

Tapeli sana[emoji23]

Ukiona mtu anakujaza sana kuwa anakupa ajira mara ana makampuni kuwa makini. Sema Hawa huwa hawaskii mpaka liwakute jambo

Amewadhalilisha sana wadada humu, so sad
Kumbe!Asante sana shemeji umenifungua macho napendaga we unaenda tu straight 😆😆😆😆
 
Kinywaji unachotumia leo kiache hakikupendi [emoji23][emoji23][emoji23]
Anazingua unawezaje kila mtu kumuahidi ajira?

Coca kasoma bcom sijui, mshamba kasoma computer science, sijui nani kasoma accounts, mwingine kasoma socialogy, mwingine BBA, mwingine pspa, wote hao unawaahidi ajira umekua psrs?
 
Watakutana uko uko wizarani kwa babu migambuti atajua yeye awapange vipi na course zao walizosomea 😂😂😂
Mbona wa BAF umemsahau?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom