ππππ dadeq mmoja alienda akaambiwa mnene ka kipipa cha lami π€£Sasa yeye anatumbuliwajee akati ndo mkuu wa kitengo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yeye anakula mema ya nchi, wadada wa JF ajira zipo kwake, na kila kada ana connections, mshindwe nyie wenyewe tyuuh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] angekupeleka Mlimani city, wee hutaki [emoji477]??Akuu alitaka tuonane eti kwa gharama yoyote nikamwambia me ghost sionani na watu
Akitoka hapo aje jf aseme amenila na kunipa kazi πππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] angekupeleka Mlimani city, wee hutaki [emoji477]??
Ungeenda nawe bff πππAkuu alitaka tuonane eti kwa gharama yoyote nikamwambia me ghost sionani na watu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila babu atakufa yuko hoii, kwann asumbue mabinti wa watuu, khaaah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dadeq mmoja alienda akaambiwa mnene ka kipipa cha lami [emoji1787]
Babu km huna mvuto kazi hupewi, kuna mmoja kazungushwa mpk kaamua afungue uzi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jomoneeee woiiiih.Akitoka hapo aje jf aseme amenila na kunipa kazi [emoji38][emoji38][emoji38]
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ Shemeji mbona unaharibu sana LeoπππASANTE SANA Missy Gf njoo shemeji keshachomoa betriLamomy ana majina yake hadi kukuambia ni kazi sana[emoji23]
Mr.mitraako nishamjua ni yule jamaa anajiita intelligent business
PDF ya kijinga ile wamemficha extrovet wakaacha chats za pensel peke yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila kwa ile siku utadhan alitumwa, mambo ya PDF yaan full heka heka.
Ni wale wale wa kutoa afu salasini π€£π€£π€£[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jomoneeee woiiiih.
Mbombo ngafuu.
Na tulimjaza akajaa afu tukamsuuza hakuamini macho yake πππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila kwa ile siku utadhan alitumwa, mambo ya PDF yaan full heka heka.
π€£π€£π€£π€£Kha kumbe ule Uzi ndio wa babu watoto mna ubuyu nyie na hamsemiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila babu atakufa yuko π€£π€£π€£hoii, kwann asumbue mabinti wa watuu, khaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie, wallahUngeenda nawe bff [emoji23][emoji23][emoji23]
Ungeletwa mzima mzima humu, cousin wako kaambiwa alimuomba amtumie picha za chiu ndo ujue babu umeme mdogo [emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa ana dhambi sana sio powa, yule demu angejua jinsi alivyopondwa vile sidhani kama angekuwa na furaha tena.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dadeq mmoja alienda akaambiwa mnene ka kipipa cha lami [emoji1787]
Babu km huna mvuto kazi hupewi, kuna mmoja kazungushwa mpk kaamua afungue uzi
Mna vijimambo nyie,,eeh Kwa hiyo mlikuwa mnatuma CV kwenye PDFπ€£π€£π€£π€£Na tulimjaza akajaa afu tukamsuuza hakuamini macho yake πππ
Alivyoanza kujipakulia minyama eti nimeambiwa nimemla hadi cute wife mfyuuu!
Nikaona babu miyayusho kaanza kamba π€£π€£π€£
Kheeeh had Extro? Mbna mabwakuuu.PDF ya kijinga ile wamemficha extrovet wakaacha chats za pensel peke yake
Penseli alikua anachat na mtu anaitwa extrovet sijui ndio nani, wote walikua wanaponda balaa na kuzusha kila mambo mengi. Lakini chats za extrovet zikazibwa zikaachwa za penseli
Wajinga kabisa
Labda uwe unazima mtambo wake wa pmb na kuuwasha mnara wake usome 5g km za Yanga ππππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie, wallah
Nilivokua naringa na kujiona nna bahati, namuambia mate, "mwenzako nikitoka hapa huyoo TCRA"
Sahiv ananiuliza "shost huko TCRA interview hujaitwa bado?" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nachokaa mie.
Nilimuonea huruma sana yule dada jamani aliongea kwa uchunguuuππππ dadeq mmoja alienda akaambiwa mnene ka kipipa cha lami π€£
Babu km huna mvuto kazi hupewi, kuna mmoja kazungushwa mpk kaamua afungue uzi