Na wewe uko na nini, manake sio kwa huo uchangamfu😁Mbege kamix na castle lager ya moto 😂😂😂
Babu muongo wewe si uliona zile chats za kipindi kile tulizosambiwa members wote wa selfika na yeye mwenyewe nazo alitunga yeye?Mie niliambiwa mnatunga meseji za uongo kuchafua watu🤣
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nasemajee JF tuiachee hivihivii.
Inaweza fikia hatua, ukaanza kumlaumu Baba wa watu Mello aliwaza nn kui unda JF? Si bora angelima bustani hapo kwake akala mboga.
Kuliko kuleta hii kitu ya kutibua amani ya watu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Me namshangaa tu anavyoyatupa maneno bila hofu mtani wako 😂😂😂Na wewe uko na nini, manake sio kwa huo uchangamfu😁
Si unajua nilivyo mama pekupeku umbea haunipiti 😆😆😆Ningekukosa hapa 😁
Hili swali ni rahisi sana, mm sio mtumiaji sana wa jf na sijui member wengiMkuu,
Naomba nikuulize, usije tu kunirushia mawe[emoji16][emoji16] hizi taarifa personal kabisa huwa unazipataje, yaani unajuaje nani na nani wanaongea nini, samahani nimedandia fuso njiani.
Aliambiwa boss ledi kamuomba babu watumiane pic za chiu ndo ushangae 😂😂😂Kwahiyo Coca uliahidiwa ajira? 😂😂😂😂
Aisee
Humu wa kumuamini labda Mjep tu ndio huwa hana mbambamba..na sijawahi kuona akiahidi watu ajira
Hata akikupa vocha hakusimangi
nilishangaa Boss ledi kusimangwa Kwa sababu ya hela ambayo mtu binafsi aliamua kutoa🤣
Akiyanani
Kuna watu siyo wa kupokea hata mia zao
Muda huo naambiwaBabu muongo wewe si uliona zile chats za kipindi kile tulizosambiwa members wote wa selfika na yeye mwenyewe nazo alitunga yeye?
Humu huwezi kutunga chat za pm hata iweje!!
Ndio maana nilikukimbia, nikitaka mambo yangu upo busy na umbea huko😁😁😁😁Si unajua nilivyo mama pekupeku umbea haunipiti 😆😆😆
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mjep alimpa mdada wa watu elf 30, akat alimuahidi 200k.Kwahiyo Coca uliahidiwa ajira? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee
Humu wa kumuamini labda Mjep tu ndio huwa hana mbambamba..na sijawahi kuona akiahidi watu ajira
Hata akikupa vocha hakusimangi
nilishangaa Boss ledi kusimangwa Kwa sababu ya hela ambayo mtu binafsi aliamua kutoa[emoji1787]
Akiyanani
Kuna watu siyo wa kupokea hata mia zao
Khaaaaaa!! Unayaweza wewe 😂😂😂Hili swali ni rahisi sana, mm sio mtumiaji sana wa jf na sijui member wengi
Najuaje? Wanaochat nao huwazunguka na kwenda kwa wadada kupeleka kila kitu kwenye chats zao na wanascreenshot kabisa kama ushahidi.
Sasa jambo likifika kwa cute wife si ndio limefika kwangu??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aliambiwa boss ledi kamuomba babu watumiane pic za chiu ndo ushangae [emoji23][emoji23][emoji23]
Ngao yetu ni ww, walishajimaliza kila kitu kwako[emoji23][emoji23], na wanaakuogopa maana unajua A to ZMnayaweza na shemejio [emoji23][emoji23][emoji23]
Mtachambwa had mkimbie
🤣🤣🤣 Jf nzitoMuda huo naambiwa
Ni muda country anatiririka kwenye uzi, na alishaanza kuachia screenshot 🤣
Mbona sielewi😆[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mjep alimpa mdada wa watu elf 30, akat alimuahidi 200k.
Akaishia kumzururisha na ndinga yake nyeusi.
Mjep baba tamuuu, nakuombaa mara 1.
Bila umbea hakuna maisha wallah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Si unajua nilivyo mama pekupeku umbea haunipiti [emoji38][emoji38][emoji38]
Akuuu me sijui chochote ndo kwanza I’d yangu joined 2023 😂😂😂Ngao yetu ni ww, walishajimaliza kila kitu kwako[emoji23][emoji23], na wanaakuogopa maana unajua A to Z
Mimj hapa nimetoa kidogo tu[emoji23]
Cute wife ndio huyu huyu Lamomy? Aaaah hapo sasa naelewa.Hili swali ni rahisi sana, mm sio mtumiaji sana wa jf na sijui member wengi
Najuaje? Wanaochat nao huwazunguka na kwenda kwa wadada kupeleka kila kitu kwenye chats zao na wanascreenshot kabisa kama ushahidi.
Sasa jambo likifika kwa cute wife si ndio limefika kwangu??
Wewe![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mjep alimpa mdada wa watu elf 30, akat alimuahidi 200k.
Akaishia kumzururisha na ndinga yake nyeusi.
Mjep baba tamuuu, nakuombaa mara 1.
Mi nikashangaa🤣🤣🤣 Jf nzito