Mfyuuu!!!🤠🤠🤠Tangu lini Babu akatembea na Wajukuu zake?
Kuweni na huruma na Wazee 😢
Kazi ipo[emoji23][emoji23][emoji23]Waja utatuweza dear! Nimeona hapo umevamiwaa na anaeniita mke wake nyieeee[emoji1783][emoji1783][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kweli jf sihamiiiiii [emoji126][emoji126][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!
Ila babu nilisikia unagawa mihela 🤣🤣🤣Tangu lini Babu akatembea na Wajukuu zake?
Kuweni na huruma na Wazee 😢
Unasumbuliwa na wale vilaza unabishana nao mi nimewaambia eeh nadanga shida Nini🤣🤣🤣Kuna mtu kasema hapo juu kuwa kampiga chini nani sijui jf watu wakikuamuliaa 🙌🙌🙌🙌!
Tumeambiwa wanawake wa jf wachafu tunanukaaa tunapangwa balaa🤣🤣🤣🤣🙌!
Na uzee huo electricity si itakukausha babuuu tuliza kikojoleo uzee unakujia vibaya ujue 🤠🤠🤠🤠🤣🤣🤣!Na umri wote huu wa miaka 78?
Kuweni na huruma na Wazee 🤗
Over my dead body....sina huo uwezo MjukuuIla babu nilisikia unagawa mihela 🤣🤣🤣
Kumbe ndiomana wajukuu wanajileta hivo hivo kula pesa
Babu uko juu 🤣
Hivi hii habari ya kweli? 😂😂😂Mfyuuu!!!🤠🤠🤠
Unajifanya husimamishi ili wajukuu waje kutest kama kweli babu hufai weweee🤣🤣🤣!
Umejiopolea chombo ya G babuuu🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wee watu wanamkanda babu waziwaziiii mbona?? Muulize mwenyewe hahahaaa!!Hivi hii habari ya kweli? 😂😂😂
Mbona haijanifikia kwenye meza yangu?
Kwanza Jogoo mwenyewe hawiki, nitaanzia wapi Mjukuu...Na uzee huo electricity si itakukausha babuuu tuliza kikojoleo uzee unakujia vibaya ujue 🤠🤠🤠🤠🤣🤣🤣!
Tumeambiwa wote tumeunguaaaa ohoooo 😁😁😁!
Bibi mwambie nitamletea Kitenge,ila Babu kumbe nasikia unachezea tu pension mbona mi hunipi?nakuja kuchukua umoja kadi ya TPB nikiwa kama mjukuu wako wa kwanza nidhibiti matumizi ya hovyo ya pesa za familia🤣Alafu ni juzi tu Bibi yako alikuwa anakuulizia....🤗
Kabisa waja ukiwajua hawakupi shida!Ndivyo walivyo wanadamu wazoee tu na usonge mbele
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣Kabisaa😂😂😂😂 wacha wee
Uongo huo babu 😂😂😂Over my dead body....sina huo uwezo Mjukuu
Kweli MjukuuMfyuuu!!!🤠🤠🤠
Unajifanya husimamishi ili wajukuu waje kutest kama kweli babu hufai weweee🤣🤣🤣!
Umejiopolea chombo ya G babuuu🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Joannah unamuelewa kweli huyuMdudu wa bunju mkuu nimekukosea lolote?
🤣🤣🤣🤣 Jf ina hekahekaWee watu wanamkanda babu waziwaziiii mbona?? Muulize mwenyewe hahahaaa!!
Weee imesemekana wee muongooo unatumia hio kama chamboooo babuuu 🤣🤣🤣🤣😂!Kwanza Jogoo mwenyewe hawiki, nitaanzia wapi Mjukuu...
Tuoneeni huruma Wazee wenu 🤗
Ila wewe nae umoo🤣🤣🤣🤣Afu na yeye akapita kimya kama hajaona hiyo comment😅😅