Plan Master
JF-Expert Member
- Jan 1, 2021
- 2,188
- 3,762
Ni mkorofi[emoji23][emoji23][emoji23] kwanini? Kwan me na yeye tunajuana?
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mkorofi[emoji23][emoji23][emoji23] kwanini? Kwan me na yeye tunajuana?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Udugu babu wa moto [emoji23][emoji23][emoji23]
Yani kila mtu anajua anayetoka naye
Ooh!! Ko yeye muda wote mkorofi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nipoo sio hukuu tuu shost kuna na selfika ilifungwa huko nilikua najiuza kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] [emoji1787][emoji1787][emoji1787]!
Daaah nani tena anawakosea adabu hivyo tumpeleke kwa mwamposaKuna mtu kasema hapo juu kuwa kampiga chini nani sijui jf watu wakikuamuliaa [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]!
Tumeambiwa wanawake wa jf wachafu tunanukaaa tunapangwa balaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]!
Nani tena kapigwa chini? 😂😂😂Kuna mtu kasema hapo juu kuwa kampiga chini nani sijui jf watu wakikuamuliaa 🙌🙌🙌🙌!
Tumeambiwa wanawake wa jf wachafu tunanukaaa tunapangwa balaa🤣🤣🤣🤣🙌!
Kuna muda ni mpole ila ukimchokoza utajutaOoh!! Ko yeye muda wote mkorofi?
Basi mpelekeni akaombewe [emoji23][emoji23][emoji23]
Maneno matupu bila picha tutakuaminije?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie nilifuta convo, afu kwa heshima ya mama malezi ckutaka ku screenshot, na nilijua hata wengne watakua nazo, couz mie alinitumia hata hakua member wa selfika kivileee.
Afanye arudi amalizie ma PDF yake kwanza 😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wee pitia huko juu Mie kilaza sikumbuki vizuriiii ntasutwa soon🤠🤠🤠😁!Nani tena kapigwa chini? 😂😂😂
Waja wa jf wamenishinda 🙌
Kwenye ilo kundi me anitoe na sinuki labda yeye atuambie alikutana na nani akawa anatoa harufu?
Kuna mtu kasema hapo juu kuwa kampiga chini nani sijui jf watu wakikuamuliaa 🙌🙌🙌🙌!
Tumeambiwa wanawake wa jf wachafu tunanukaaa tunapangwa balaa🤣🤣🤣🤣🙌!
Haya bana
Kijiwe cha moto balaa[emoji15]
Tukiombee nacho kivuke mwaka.
Nitag me mvivu 😂😂😂Wee pitia huko juu Mie kilaza sikumbuki vizuriiii ntasutwa soon🤠🤠🤠😁!
Yaani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],umeona ehh
Wee pitia huko juu Mie kilaza sikumbuki vizuriiii ntasutwa soon🤠🤠🤠😁!