Unforgettable
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 5,584
- 12,461
zingatia nyakunyaku wanakusoma pia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hawezi, labda mie ndo nivuruge afu yeye a react, ni innocent guy kwa kweli.
Sijutii kumfahamu, ananipenda had najiuliza ni Mtizedi kweli huyu, ila ndo hivyo "ukipewa kilema unapewa na mwendo.