Tag na weka sifa yake moja tu...

Tag na weka sifa yake moja tu...

Status
Not open for further replies.
Uzuri watu wataninyima bundle, ila sio umbea wa PM. Shots zilikuwa zinanifikia tu navyochambwa na kuimbiwa parapanda. Katakuja tu
Halafu nimekumbuka😆🤣🤣
Kumbe picha lilianzia kwnye parapanda😆😂😂

Umekaa unahurumia watu
Kumbe wengine wamekaa wanaimba parapanda🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Ngoja Coca aje aweke huyo aliyekuonea.
Ni fedheha sana mtu mzima kufedheheshwa bila sababu🤣
 
Usinikumbushe bana. Uzuri wa JF bana, unaweza ukasikia story ukacheka au kusikitika; kumbe mhusika ni wewe na haujui maskini. Hadi nilifunga kukemea Roho za mauti; sio kwa kuchuriwa kule. Back to senders
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi sasahivi nasubiri screenshot tu

Nilishashangaa vya kutosha
 
Si uzi wa kutumia akili kubwa ni sehemu ya burudani tu!..
Mtag mtu kisha andika sifa yake moja tu jinsi unavyomfikiria kutokana na vile anavyoitumia I'd yake lkn kwa kufuata sheria za jf isiwe uwanja wa matusi au kurushiana visirani..😅

Mshana Jr
Mganga mashuhuri..!

Kasie a.k.a matata
Bibi mkorofi kitandani..😅

Kiranga
Mtu mbishi tu!

Mzee Mwanakijiji
Hekima..

Chizi Maarifa
Jina linajieleza..😅

Shunie
Mdada mkarimu..

MLEVi Mmoja
Mfano wa waliokuwa wanakula ada shuleni..😂

GuDume
Mtu anaezeeka vibaya..😅

Saint Anne
Kondoo wa bwana..

lliedie
Kabinti kapolee..🤗

Depal
Mwenye misimamo lkn tatanishi..😜

Miss Natafuta
Kamati ya kudang..a😎🙈

Don Nalimison
Mtu mwenye malalamiko😂

Kiduku Lilo
Ile hela tuma kwenye namba hii..😂

katoto kazuri
Anajifunza umbea..😅

Money Penny
Kamati ya michambo na udaku..🏃

List iendelee..
KENZY
Mzee wa cha Arusha na glass
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom