Tag na weka sifa yake moja tu...

Tag na weka sifa yake moja tu...

Status
Not open for further replies.
Weee hapanaa!
Nilikua nakaa kimyaa naonekana mjinga watu wakawa wananisema hadi wananitagi kabisa kwa kusema nawaogopa!!
Nilivokua nakaa kimya ndio walikua wanafurahiii wanapendaaa nilipoanza kujibu naonekana bado sijui napenda Makolokolo gani nyieee jf hii [emoji119][emoji119][emoji119][emoji1783]
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unajua siku ile ilibidi niwe mpole sana

Aliniambia unachotafuta kwa antonnia nn, amekukosea wapi au umetumwa, nikaambiwa naomba huu ndio uwe mwisho wetu siwezi kuwa na mtu wa hivi anazingua rafiki zangu[emoji23]

alicharuka sio kidogo. But yalishaisha na alinielewa[emoji23]
Khaaaaa!! Unaanza kuyatoa ya chumbani 😂😂😂
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom