Tag na weka sifa yake moja tu...

Tag na weka sifa yake moja tu...

Status
Not open for further replies.

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
32,529
Reaction score
76,691
Si uzi wa kutumia akili kubwa ni sehemu ya burudani tu!..
Mtag mtu kisha andika sifa yake moja tu jinsi unavyomfikiria kutokana na vile anavyoitumia I'd yake lkn kwa kufuata sheria za jf isiwe uwanja wa matusi au kurushiana visirani..๐Ÿ˜…

Mshana Jr
Mganga mashuhuri..!

Kasie a.k.a matata
Bibi mkorofi kitandani..๐Ÿ˜…

Kiranga
Mtu mbishi tu!

Mzee Mwanakijiji
Hekima..

Chizi Maarifa
Jina linajieleza..๐Ÿ˜…

Shunie
Mdada mkarimu..

MLEVi Mmoja
Mfano wa waliokuwa wanakula ada shuleni..๐Ÿ˜‚

GuDume
Mtu anaezeeka vibaya..๐Ÿ˜…

Saint Anne
Kondoo wa bwana..

lliedie
Kabinti kapolee..๐Ÿค—

Depal
Mwenye misimamo lkn tatanishi..๐Ÿ˜œ

Miss Natafuta
Kamati ya kudang..a๐Ÿ˜Ž๐Ÿ™ˆ

Don Nalimison
Mtu mwenye malalamiko๐Ÿ˜‚

Kiduku Lilo
Ile hela tuma kwenye namba hii..๐Ÿ˜‚

katoto kazuri
Anajifunza umbea..๐Ÿ˜…

Money Penny
Kamati ya michambo na udaku..๐Ÿƒ

List iendelee..
 
Kwanza kwanini umeniweka namba mbili....??

Back to the topic...

KENZY katoto kanakopenda vizee ila kuvihudumia hakawezi.

Wote nnaotaka kuwaandika hapa ni washkaji zangu humu JF, acha niwamezee nimtaje huyu ambaye hayupo siku hizi ila zamani alikuwa shabiki kindakindaki.

Tyta mpiga picha maarufu na mchokozi wa Kasie.
 
Swali la namba mi sijui mwalimu wa hesabu nilikuwa namrushia mawe..๐Ÿ˜‚

Halafu mi sipendi vibibi ila vyenyewe ndo vinanipenda ila mi naviogopa maana vinamapengo..๐Ÿ˜œ
 
Nashukuru Mzee mwenzangu....maana vijana wanajitahidi kutuchafua sisi wazee....hawa ndo vijana ambao hupiga makofi wazee wao.kama walivyomfanyia mzee mwenzetu warioba miaka ile.
Watu tuna busara na hekima mpaka zina mwagika.....wanakosekana wa kuchota

GuDume hazeeki vibaya, hekima na busara zinamyongezeka kila siku
 
Si uzi wa kutumia akili kubwa ni sehemu ya burudani tu!..
Mtag mtu kisha andika sifa yake moja tu jinsi unavyomfikiria kutokana na vile anavyoitumia I'd yake lkn kwa kufuata sheria za jf isiwe uwanja wa matusi au kurushiana visirani..[emoji28]

Mshana Jr
Mganga mashuhuri..!

Kasie a.k.a matata
Bibi mkorofi kitandani..[emoji28]

Kiranga
Mtu mbishi tu!

Mzee Mwanakijiji
Hekima..

Chizi Maarifa
Jina linajieleza..[emoji28]

Shunie
Mdada mkarimu..

MLEVi Mmoja
Mfano wa waliokuwa wanakula ada shuleni..[emoji23]

GuDume
Mtu anaezeeka vibaya..[emoji28]

Saint Anne
Kondoo wa bwana..

lliedie
Kabinti kapolee..[emoji847]

Depal
Mwenye misimamo lkn tatanishi..[emoji12]

Miss Natafuta
Kamati ya kudang..a[emoji41][emoji85]

Don Nalimison
Mtu mwenye malalamiko[emoji23]

Kiduku Lilo
Ile hela tuma kwenye namba hii..[emoji23]

katoto kazuri
Anajifunza umbea..[emoji28]

Money Penny
Kamati ya michambo na udaku..[emoji125]

List iendelee..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]umenihami mapema sana
KENZY
Kada maarufu wa chama pendwa
 
Aahahahahahaaaa

Ndo ujiandae kudundwa sasa, ama laah ukimbie mbio kabla hajakukuta.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Nimkimbie mtu ninaeweza kumpiga mtama mmoja tu chali..๐Ÿ˜…
Labda nimkimbie kwa kuepuka nitapelekwa jela kwa kumpiga mtu na tumapengo twake..๐Ÿ˜‚
 
Nashukuru Mzee mwenzangu....maana vijana wanajitahidi kutuchafua sisi wazee....hawa ndo vijana ambao hupiga makofi wazee wao.kama walivyomfanyia mzee mwenzetu warioba miaka ile.
Watu tuna busara na hekima mpaka zina mwagika.....wanakosekana wa kuchota
Ha ha! Mkuu kila mtu anapenda kupewa sifa nzuri lkn kuzeeka vibaya haimaanishi ubaya unaweza ukawa unazeeka vibaya kwa uzuri..

We ni mzee lkn baharia..๐Ÿ˜…
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom