Tag na weka sifa yake moja tu...

Tag na weka sifa yake moja tu...

Status
Not open for further replies.
Mdakuzi
1. Anajua mambo mengi
2. Anaringa sana
3. Hapendi mazoea na watu
4. Ana upendo na huruma
5. Busara na hekima ndio nyumbani kwake
6. Ana vituko sana
Japo umetaka moja mi ninazo nyingi, kwa hizo zinatosha, wengine siwajui bado…
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom