Tag na weka sifa yake moja tu...

Tag na weka sifa yake moja tu...

Status
Not open for further replies.
Ananitania hajawahi kunitaka [emoji23][emoji23][emoji23]
Alikua anatania wapi bana, yule dogo si ndio hadi alikua anatumwa. Anakutaka alafu tena hapo hapi anatumwa tena na wanaokutaka[emoji23][emoji23]

Huyu dogo kichwa ipo na shida
 
Alikua anatania wapi bana, yule dogo si ndio hadi alikua anatumwa. Anakutaka alafu tena hapo hapi anatumwa tena na wanaokutaka[emoji23][emoji23]

Huyu dogo kichwa ipo na shida
Huu uzi nawaachia hapa kuna wangese watakuja wataanza kunireport me, kwaherini 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
 
Lucas mwashambwa kubwa Zima lkn Hana mpango. Utadhani mwijaku Fulani lkn huyu amefulia mbaya. anakwenda bar Hana hata Mia anasubiri anunuliwe safari ya Moto ndio aanze kumsifia aliyemnunulia pombe.
ChoiceVariable msomi aliyemaliza form six shule ya kata, muda mwingi utamkuta kwenye ofisi za CCM anacheza draft na wazee wa CCM.
Bongotunacheza anapenda Sana pombe za kienyeji na wadada wanaouza pombe vilabuni, lkn pia anapenda Sana kukaa vijiweni na wastaafu wakiongelea siasa za CCM na kuona CCM Wana bonge la Sera.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom